Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?

Kwa viwango vya serikali hiyo nyumba si chini ya mil. 100, kwa viwango vya nyumba ya kawaida ni mil 60 hadi 70. Msisahau kuwa serikalini kuna michakato kibao ambayo nayo inatumia pesa. Ukute 30% imerudi tena serikalini kupitia mawakala wake wa usimamizi.
 
Wewe unaelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ona huyu.
 
Hii mimi ningejenga kwa tshs 55 mil.. na yote kumaliza kabisa
 
Hauwezi kujua gharama ya nyumba kwa kuangalia picha ukiwa maili hata mbili tu kwa kuwa picha haionyeshi ukubwa wa nyumba, ubora wala materials zilizotumika kuijenga mpaka ilipofikià. Rais, naamini, alingia ndani kila chumba kufungua kabla ya kutoa comment.
 
Umeongea kitaalam sana hawa wapiga kelele wa Magu hawatakuelewa.
 
Kama kuna finishing touches nzuri huko ndani, na structure ilijengwa kwa viwango stahiki, no way hiyo nyumba ni less than 100m.. mnaosema milioni sijui 60, 70 mnaongelea very low qualoty houses...
Hadi ikosolewe na alieiona hadi ndani maana yake hiyo finishing touch ni ya kawaida, na wahusika washasimamishwa kazi sasa
 
Hii ukisisimamia vizuri, Rais yupo karibu zaidi na ukweli 40-45 milion
 
Bora useme Kuna watu wanasema 40 mara 70 hivi kweli wanajua kujenga na gharama zake kweli au Ni kuropoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…