Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?

Kama kuna finishing touches nzuri huko ndani, na structure ilijengwa kwa viwango stahiki, no way hiyo nyumba ni less than 100m.. mnaosema milioni sijui 60, 70 mnaongelea very low qualoty houses...
Hapana,hiyo nyumba ikijengwa na fundi mzuri tu wa mtaani kwa viwango bora kabisa vya kitaalamu haizidi mil 75,nyie kina architech wapigaji sana.calavati tu za maji ya mvua mnajenga mbili wa mil 40,hamfai nyinyi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni ofisi au ni nyumba ya mtu ya kuishi?
 
Ndio humohumo wanatengeneza upigaji,tumewahi kujenga choo cha zahanati kwa mil 40,hadi nikashangaa...tulikula kwa kwa kweli,sasa nikaangalia material na namna ya ujenzi ulivyofanyika sidhani kama ilifika mil 20.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ujenzi wa serikali huendagi hivyo.
Kuna consultant...archetect
Kuna consultant....structure
Kuna consultant.....BOQ
hawa wote wanalipwa na huenda wao pekee wamekula 30ml kabla hujalipa mjenzi.
Hiyo 40ml yenu huenda ni gharama za ujenzi pekee
Hizo nyumba zimejengwa wilaya nyingi tena kwa force account vifaa wamenunua wao tena vya kawaida sana. Rais yupo sawa kulalamika bei. Vyumba ni vidogo vidogo.
 
Hi shughuli angepewa Mhe. Jaffu huyo boss aliyejenga Hapo angekoma
 
Hata kama,piga hesabu za hivyo viwango vya material unavyodhani vya juu...haifiki mil 143 kwa nyumba hiyo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ila kumbuka huwez jenga nyumba ya taasisi ukasupervise kama yako, hii inaenda na wataalam, tofali hadi upeleke maabara, zege pia, i bet kwa construction process halisi zikifuatwa hii nyumba inafika 110mil.
Kumbuka kila kitu kinatakiwa kiwe standard
Umewahi kuwa sait?,eneo la ujenzi wa nyumba za serikali au ....?,

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nimetoka kusoma ppra nikaja kusoma huu uzi. Naona wananchi wanalinganisha nyumba zao za udongo na majengo ya serikali.
 
kama ina underground bunker inaweza kuzidi hiyo M143..

lakini kama ndio hiyo niionayo...jenerali amekulwa cha juu

simple like that.
 
Mkuu ujenzi wa serikali huendagi hivyo.
Kuna consultant...archetect
Kuna consultant....structure
Kuna consultant.....BOQ
hawa wote wanalipwa na huenda wao pekee wamekula 30ml kabla hujalipa mjenzi.
Hiyo 40ml yenu huenda ni gharama za ujenzi pekee
Mkuu,! Majengo ya sekikali yanayojengwa hata huku ntaani tunayaona!
Kiufupi hapo kuna hela imepigwa.
 
Kadiria tu kwa nyumba za kiserikali mana Rais kakosoa size ya nyumba na sio material yaliyotumika.
 
Sasa tangu lini fundi Maiko akajenga nyumba za serikali. Unadhani watu shule wanaenda kuvaa sare tu na kunywa uji.
 
Hiyo nyumba huwezi kupaua kwa 10 million mkuu labda utumie makuti.
 
Nimetoka kusoma ppra nikaja kusoma huu uzi. Naona wananchi wanalinganisha nyumba zao za udongo na majengo ya serikali.
Hivi majengo yapi ya selikali ambayo huku mtaani hayapo?

Ujenzi wa hayo majengo hauna tofauti yeyote na huu tunaofanya huku mtaani
 
Wewe hiyo finishing ya mil 10 ni finishing ya aina gani? Mbona mnaunderestimate sana? Ni finishing ya nyumba ya tandale kwa mfuga mbwa au?
 
Sasa tangu lini fundi Maiko akajenga nyumba za serikali. Unadhani watu shule wanaenda kuvaa sare tu na kunywa uji.
Sasa hao wasomi wanashika tofali au kumeaga zege kwenye hizo nyumba za serikali,kina maiko ndio hufanya hivyo,wasomi ndio wanakadilia hayo mabei ya ajabu.kwenye ujenzi kina maiko wazuri kuliko hao wasomi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nimetoka kusoma ppra nikaja kusoma huu uzi. Naona wananchi wanalinganisha nyumba zao za udongo na majengo ya serikali.
Watu wanaona nyumba iking'aa kwa rangi wwanadai ni nyumba bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…