Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Hapana,hiyo nyumba ikijengwa na fundi mzuri tu wa mtaani kwa viwango bora kabisa vya kitaalamu haizidi mil 75,nyie kina architech wapigaji sana.calavati tu za maji ya mvua mnajenga mbili wa mil 40,hamfai nyinyi.Kama kuna finishing touches nzuri huko ndani, na structure ilijengwa kwa viwango stahiki, no way hiyo nyumba ni less than 100m.. mnaosema milioni sijui 60, 70 mnaongelea very low qualoty houses...
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app