Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Finishing ya nje, namaanisha vitu kama paving,na walkways e.t.c,acha kukurupuka,soma vizuri hapo utaelewa.Wewe hiyo finishing ya mil 10 ni finishing ya aina gani? Mbona mnaunderestimate sana? Ni finishing ya nyumba ya tandale kwa mfuga mbwa au?
Mkoa gani?Ukinipa M 143 nakuletea nyumba kama hiyo mbili na vimilioni vichache vinabaki.
ficha upumbavu wakoHuwezi mkuu, nyumba za serikali hazijengwi na vifaa vya ujenzi vya hovyo hovyo.
Tofali grade one tena za kulaza mara nyingi, ratio ya cement ya hali ya juu na bati gauge 26.
Huwa mnakurupuka mnalinganisha na vibanda vyetu vya mtaani.
Pili huwa kuna bei ya elekezi ya ujenzi mfano mdogo...
...majengo ya hospitali cost/sqm huwa ni 850,000
...magodauni cost/aqm ni 500,000
Msiwe mnakurupuka kama rais wetu.
Huwezi kuzunguka nyumba eti ukapata gharama za ujenzi.
Pitia manunuzi na pitia kitabu cha consultants uone mapensekezo yao katika ujenzi.
Hata hiyo ya nje unayosema inazidi hiyo mil 10Finishing ya nje, namaanisha vitu kama paving,na walkways e.t.c,acha kukurupuka,soma vizuri hapo utaelewa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Umezingatia matumizi ya force account?Huwezi mkuu, nyumba za serikali hazijengwi na vifaa vya ujenzi vya hovyo hovyo.
Tofali grade one tena za kulaza mara nyingi, ratio ya cement ya hali ya juu na bati gauge 26.
Huwa mnakurupuka mnalinganisha na vibanda vyetu vya mtaani.
Pili huwa kuna bei ya elekezi ya ujenzi mfano mdogo...
...majengo ya hospitali cost/sqm huwa ni 850,000
...magodauni cost/aqm ni 500,000
Msiwe mnakurupuka kama rais wetu.
Huwezi kuzunguka nyumba eti ukapata gharama za ujenzi.
Pitia manunuzi na pitia kitabu cha consultants uone mapensekezo yao katika ujenzi.
Dah aisee,kuna watu hamuendi mbinguni kwakweli,wezi sana[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hata hiyo ya nje unayosema inazidi hiyo mil 10
[emoji2][emoji2]Dah aisee,kuna watu hamuendi mbinguni kwakweli,wezi sana[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
yaliyomo yamo katka receipt au ndioyale yale-ukiongeza na ile mbili ya jana zinakuwa 8[emoji3][emoji23][emoji23]Huwezi mkuu, nyumba za serikali hazijengwi na vifaa vya ujenzi vya hovyo hovyo.
Tofali grade one tena za kulaza mara nyingi, ratio ya cement ya hali ya juu na bati gauge 26.
Huwa mnakurupuka mnalinganisha na vibanda vyetu vya mtaani.
Pili huwa kuna bei ya elekezi ya ujenzi mfano mdogo...
...majengo ya hospitali cost/sqm huwa ni 850,000
...magodauni cost/aqm ni 500,000
Msiwe mnakurupuka kama rais wetu.
Huwezi kuzunguka nyumba eti ukapata gharama za ujenzi.
Pitia manunuzi na pitia kitabu cha consultants uone mapensekezo yao katika ujenzi.
Huwezi mkuu, nyumba za serikali hazijengwi na vifaa vya ujenzi vya hovyo hovyo.
Tofali grade one tena za kulaza mara nyingi, ratio ya cement ya hali ya juu na bati gauge 26.
Huwa mnakurupuka mnalinganisha na vibanda vyetu vya mtaani.
Pili huwa kuna bei ya elekezi ya ujenzi mfano mdogo...
...majengo ya hospitali cost/sqm huwa ni 850,000
...magodauni cost/aqm ni 500,000
Msiwe mnakurupuka kama rais wetu.
Huwezi kuzunguka nyumba eti ukapata gharama za ujenzi.
Pitia manunuzi na pitia kitabu cha consultants uone mapensekezo yao katika ujenzi.
Kama huna uzoefu na ujenzi unaweza kuichukulia poa poa hili jengo.Nyumba ina ukubwa gani hii,Mbona inaonekana ndo thamni yake halisi
Huwajui lumumba ww, hapo wanaongelea ushabiki tu..hiyo nyumba hata Kama wamepiga cha juu bc ni kdg sana ...si chini ya M 120Kama kuna finishing touches nzuri huko ndani, na structure ilijengwa kwa viwango stahiki, no way hiyo nyumba ni less than 100m.. mnaosema milioni sijui 60, 70 mnaongelea very low qualoty houses...
Asante umemaliza kila kituHii nyumba Ni kubwa mno,
Tena inatakiwa kua mil 150+ Kama ukiamua kuitendea haki upande wa material
HEBU TUPIGE HESABU SASA[emoji116]
1. MSINGI
(Kusafisha kiwanja, Kuchimba msingi,KIFUSI, tofali,cement, mchanga, maji,ufundi,mengineyo)
Almost 10mil imekata.
2. Kuinua kuta
(Tofali, mchanga, maji, ufundi,mengineyo)
Almost 15 mil imekata
3. Kumwaga beam nondo 4 nyumba nzima
(Nondo,kokoto,mbao, misumari, maji,mchanga,cement,ufundi, mengineyo)
Almost 10 mil imekata
4. Kupinga kenchi(KUPAUA)
(Mbao,misumari,binding wire, ufundi,fisha bodi ,mengineyo)
Almost 5mil imekata
5. Kupiga bati (kuezeka)
(Bati geji 28 au 26, misumari, gundi, ufundi, mengineyo)
Almost 15mil imekata
BOMA LIMEISHA, ALMOST 45Mil IMESHAKATA
Finishing[emoji116]
6. Hizo dirisha (alminium+ Gril+rangi+mengineyo) zilizotandazwa apo usichukulie poa.
Kwa haraka haraka Ziko sio chini ya 15 apo@500,000.
Mpaka zinavoonekana apo Almost 8mil imekata
7.Bado milango (frem+Top+vitasa+rangi+ufundi, mengineyo)
Kwa haraka haraka haipungui milango 10 ilo jengo. Each 400,000.
Mpaka inavoonekana apo Almost 5mil imekata
8.Hizo tiles bila shaka Ni first grade (TAASISI),
zimetandazwa sakafuni mpaka ukutani.
Mpaka zinavoonekana (tiles,grout,strips,skating,ufundi,mengineyo) apo Almost 15mil imekata
9.Hujaja gharama ya lipu, (mchanga, cement, ufundi,maji,mengineyo)
almost 10 mil nje ndani imekata
10.skimming ya nyumba nzima nje ndani kwa white cement(Rangi, white cement,ufundi, mengineyo)
Almost 7mil imekata
11. Kupiga BANDARINGI kwa ajili ya gypsum bodi.
(Mbao,misumari,ufundi,mengineyo)
Almost 7mil imekata
12. Kupiga GYPSUM BOARD
(Gypsum bodi,skruu, faiba tepu,ufundi,mengineyo)
Almost 7 mil imekata
13. Kupiga RANGI NYUMBA NZIMA nje ndani
(Rangi,ufundi,mengineyo)
Almost 5 mil imekata
14. MFUMO WA UMEME (wayaringi)
Hapo lazima nyaya SINGLE CORE first grade zimetembea za kutosha, TRONIC switch,socket,m/switch,breaker,cutout, earthrod,conduit,boxes, process za KUOMBA MITA TANESCO,ufundi n.k.
Apo almost 10mil imekata
15. MFUMO WA MAJI
Nazungumzia vyooni,jikoni,bafuni na kwingineko.
(MaSink, tanki, mabomba, ufundi, mengineyo)
Almost 5mil lazima ikate.
16. SHIMO LA CHOO
(Kuchimba,tofali,cement,mchanga,nondo,kokoto, ufundi,waya meshi, mengineyo)
Almost 2mil imekata
FINISHING tu MPAKA HAPO, jumla 81mil IMESHAKATA.
Sasa ukijumlisha
Kujenga boma 45mil + finishing 81mil= jumla 126mil.
Unaweza kuongezea na 10 mil ya kupiga FINAL TOUCHES ili kunogesha zaidi nyumba.
Kama urembo kwenye nguzo, vibaraza mbalimbali, bustani, taa za urembo, mfumo wa CCTV camera, bango, n.k
ALMOST 136MILLION inakamilisha Ilo jengo.
My take:
SIDHANI KAMA Kuna upigaji hapa.
Na Kama upo Basi ni kwa kiwango kidogo Sana.
Tena inaweza kua kwa kwa vitu vidogo vidogoKama kulipana posho, overtime,chakula Cha saiti,usafiri n.k.
Vinaweza kukava icho kiwango kinachopelea (yaani 7million) kufikia icho kiwango halisi walichotaja Cha 143million.
Shukran [emoji120]
Njoo nikupe 60 unijengee kama hiyo!!Haivuki ml 45
Hebu Nisaidie huo mchanganuo wa kumwaga linta la million 5 kwenye hiyo nyumba?Sasa kama msingi na jamvi tufanye mil 10,kwenda na tofali mpaka lenta mil 10,lenta na tofali za juu mil5,roofing mil 10,gypsum na rangi mil 10,tiles na umeme mil 10,mfumo wa majitaka mil10,finishing nje mil 10.unapata mil 75,hapo nimekadilia tu kwa kiwango cha pesa ambacho ni juu sana,sasa hizo mil 143 kwa nyumba ya kawaida sana kama hiyo unanunua material gani ya ajabu?,wizi tu hapo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwa sababu ofisi sio kambi.Mi naomba kuuliza kwanini majengo yote ya serikali yasiwe yanafanana? Kama ni ofisi ya TAKUKURU yafanane nchi nzima. Kama ni la hamlashauri hivyi hivyo. Kwa nini kila wilaya/mji majengi ya ofisi ya taasisi moja hayafanani?