DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Tizama picha Yake, Ni ofisi ile.Vyumba vingapi kwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tizama picha Yake, Ni ofisi ile.Vyumba vingapi kwani
Kweli kabisa[emoji106]Gharama iliyotumika ni sahihi kabisa ,sababu kuna vitu vya ndani kama vile mtandao wa simu,internet na CCTV camera hapo sio chinii ya milion 40,Bado kuna viyoyozi na umeme.watu wanaongea tu ,mfano sisi tunaojenga kijengo kidogo tu cha tawi la benki ina kugharimu zaidi ya ml 350 hadi 400 ila watu wasiojua masuala ya ujenzi watajua kwamba pesa imepigwa hapo,mzee wetu tunajua kipindi hiki cha kampeni anataka kukosoa tu ila ukweli anaujua
Hapo juu[emoji115] Tena nmesahau piaHii nyumba Ni kubwa mno,
Tena inatakiwa kua mil 150+ Kama ukiamua kuitendea haki upande wa material
HEBU TUPIGE HESABU SASA[emoji116]
1. MSINGI
(Kusafisha kiwanja, Kuchimba msingi,KIFUSI, tofali,cement, mchanga, maji,ufundi,mengineyo)
Almost 10mil imekata.
2. Kuinua kuta
(Tofali, mchanga, maji, ufundi,mengineyo)
Almost 15 mil imekata
3. Kumwaga beam nondo 4 nyumba nzima
(Nondo,kokoto,mbao, misumari, maji,mchanga,cement,ufundi, mengineyo)
Almost 10 mil imekata
4. Kupinga kenchi(KUPAUA)
(Mbao,misumari,binding wire, ufundi,fisha bodi ,mengineyo)
Almost 5mil imekata
5. Kupiga bati (kuezeka)
(Bati geji 28 au 26, misumari, gundi, ufundi, mengineyo)
Almost 15mil imekata
BOMA LIMEISHA, ALMOST 45Mil IMESHAKATA
Finishing[emoji116]
6. Hizo dirisha (alminium+ Gril+rangi+mengineyo) zilizotandazwa apo usichukulie poa.
Kwa haraka haraka Ziko sio chini ya 15 apo@500,000.
Mpaka zinavoonekana apo Almost 8mil imekata
7.Bado milango (frem+Top+vitasa+rangi+ufundi, mengineyo)
Kwa haraka haraka haipungui milango 10 ilo jengo. Each 400,000.
Mpaka inavoonekana apo Almost 5mil imekata
8.Hizo tiles bila shaka Ni first grade (TAASISI),
zimetandazwa sakafuni mpaka ukutani.
Mpaka zinavoonekana (tiles,grout,strips,skating,ufundi,mengineyo) apo Almost 15mil imekata
9.Hujaja gharama ya lipu, (mchanga, cement, ufundi,maji,mengineyo)
almost 10 mil nje ndani imekata
10.skimming ya nyumba nzima nje ndani kwa white cement(Rangi, white cement,ufundi, mengineyo)
Almost 7mil imekata
11. Kupiga BANDARINGI kwa ajili ya gypsum bodi.
(Mbao,misumari,ufundi,mengineyo)
Almost 7mil imekata
12. Kupiga GYPSUM BOARD
(Gypsum bodi,skruu, faiba tepu,ufundi,mengineyo)
Almost 7 mil imekata
13. Kupiga RANGI NYUMBA NZIMA nje ndani
(Rangi,ufundi,mengineyo)
Almost 5 mil imekata
14. MFUMO WA UMEME (wayaringi)
Hapo lazima nyaya SINGLE CORE first grade zimetembea za kutosha, TRONIC switch,socket,m/switch,breaker,cutout, earthrod,conduit,boxes, process za KUOMBA MITA TANESCO,ufundi n.k.
Apo almost 10mil imekata
15. MFUMO WA MAJI
Nazungumzia vyooni,jikoni,bafuni na kwingineko.
(MaSink, tanki, mabomba, ufundi, mengineyo)
Almost 5mil lazima ikate.
16. SHIMO LA CHOO
(Kuchimba,tofali,cement,mchanga,nondo,kokoto, ufundi,waya meshi, mengineyo)
Almost 2mil imekata
FINISHING tu MPAKA HAPO, jumla 81mil IMESHAKATA.
Sasa ukijumlisha
Kujenga boma 45mil + finishing 81mil= jumla 126mil.
Unaweza kuongezea na 10 mil ya kupiga FINAL TOUCHES ili kunogesha zaidi nyumba.
Kama urembo kwenye nguzo, vibaraza mbalimbali, bustani, taa za urembo, mfumo wa CCTV camera, bango, n.k
ALMOST 136MILLION inakamilisha Ilo jengo.
My take:
SIDHANI KAMA Kuna upigaji hapa.
Na Kama upo Basi ni kwa kiwango kidogo Sana.
Tena inaweza kua kwa kwa vitu vidogo vidogoKama kulipana posho, overtime,chakula Cha saiti,usafiri n.k.
Vinaweza kukava icho kiwango kinachopelea (yaani 7million) kufikia icho kiwango halisi walichotaja Cha 143million.
Shukran [emoji120]
Hebu lete mchanganuo wako mkuu.*Tofari 5000×1500= 7, 500, 000Tsh
*kokoto na mchanga=2, 000, 000Tsh
*Nondo 100×25000=2, 500, 000Tsh
*ciement mifuko 200×15000=3, 000, 000Ts
*Mabati 80(Gauge 28)
75×33000= 2, 640, 000 Tsh
* mbao= 3, 100, 000Tsh
*madirisha na milango (complete)=
16, 000, 000Tsh
*Tiles +gypsum+rangi=
7, 000, 000Tsh
*maji(pamoja na masinki ya jikoni, chooni) + umeme= 7, 000, 000Tsh
*maitaji madogo madogo
1, 000, 000Tsh
* ufundi Tsh. 10, 000, 000/=
Jumla Tsh 60, 000, 000/=
Hebu lete huo mchanganuo wa tilez za millioni 7 nyumba Kama hii.*Tofari 5000×1500= 7, 500, 000Tsh
*kokoto na mchanga=2, 000, 000Tsh
*Nondo 100×25000=2, 500, 000Tsh
*ciement mifuko 200×15000=3, 000, 000Ts
*Mabati 80(Gauge 28)
75×33000= 2, 640, 000 Tsh
* mbao= 3, 100, 000Tsh
*madirisha na milango (complete)=
16, 000, 000Tsh
*Tiles +gypsum+rangi=
7, 000, 000Tsh
*maji(pamoja na masinki ya jikoni, chooni) + umeme= 7, 000, 000Tsh
*maitaji madogo madogo
1, 000, 000Tsh
* ufundi Tsh. 10, 000, 000/=
Jumla Tsh 60, 000, 000/=
Ulishawahi kumiliki nyumba au wewe ni kula kulala?Ukinipa M 143 nakuletea nyumba kama hiyo mbili na vimilioni vichache vinabaki.
Hapa ndo unapata tasfiri halisi ya mtuUlishawahi kumiliki nyumba au wewe ni kula kulala?
Fake hesabu*Tofari 5000×1500= 7, 500, 000Tsh
*kokoto na mchanga=2, 000, 000Tsh
*Nondo 100×25000=2, 500, 000Tsh
*ciement mifuko 200×15000=3, 000, 000Ts
*Mabati 80(Gauge 28)
75×33000= 2, 640, 000 Tsh
* mbao= 3, 100, 000Tsh
*madirisha na milango (complete)=
16, 000, 000Tsh
*Tiles +gypsum+rangi=
7, 000, 000Tsh
*maji(pamoja na masinki ya jikoni, chooni) + umeme= 7, 000, 000Tsh
*maitaji madogo madogo
1, 000, 000Tsh
* ufundi Tsh. 10, 000, 000/=
Jumla Tsh 60, 000, 000/=
Jamaa mwongo sana hata kama ni nyumba yako kwa hesabu zake ni za uwongo zote kuanzia nondo mpaka mwisho sinaHebu lete huo mchanganuo wa tilez za millioni 7 nyumba Kama hii.
Aisee Kuna watu mnachekesha Sana[emoji1]
Mkuu hazina hayo makitu unayosema. Hiyo ofisi wilaya flani imejengwa karibu na kwangu hazizidi mita 15 na fundi aliyekuja kujenga akachukua na mafundi wa mtaani wasaidie kujenga. Hizo ofisi zimejengwa kwa material ya kawaida.Ofisi nyeti Kama hii haiwezi kukosa Underground bunker au STRONG vault.
Hizi gharama naona Ni halisi.
Hakuna cctv wala viyoyozi Mh. Rais yupo sawa.Gharama iliyotumika ni sahihi kabisa ,sababu kuna vitu vya ndani kama vile mtandao wa simu,internet na CCTV camera hapo sio chinii ya milion 40,Bado kuna viyoyozi na umeme.watu wanaongea tu ,mfano sisi tunaojenga kijengo kidogo tu cha tawi la benki ina kugharimu zaidi ya ml 350 hadi 400 ila watu wasiojua masuala ya ujenzi watajua kwamba pesa imepigwa hapo,mzee wetu tunajua kipindi hiki cha kampeni anataka kukosoa tu ila ukweli anaujua
Sawa ila kwenye 90m itaenda tuMkuu hazina hayo makitu unayosema. Hiyo ofisi wilaya flani imejengwa karibu na kwangu hazizidi mita 15 na fundi aliyekuja kujenga akachukua na mafundi wa mtaani wasaidie kujenga. Hizo ofisi zimejengwa kwa material ya kawaida.
Huo msingi flat ule mil.10? TAKUKURU mnatufanya Mazuzu eti?Hiyo Nyumba kwa thamani ya ml.90 inaweza kufika. Maana msingi pamoja na jamvi si chini ya ml 10.
Mkuu hiyo bei uliotaja ni mbali pia labda 80mil.Sawa ila kwenye 90m itaenda tu
Wametumia force account.Msisahau na contractor lazime aweke faida yake hapo kama 30% ya gharama za nyumba yenyewe, msipige mahesahu ya material na mafundi wenu vinega
Sahihi inaweza cheza hapo lakin ni ofisi au makazi ya watu manake haijakaa kiofis hata kidogoMkuu hiyo bei uliotaja ni mbali pia labda 80mil.
Force account, kwani anajenga mkuu wa takukuru na wafanyakazi wake?si wameajiri local fundi (kampuni) unadhani faida wanapata vipi?Wametumia force account.