Ujenzi: Nimefanya uchunguzi kwanini watu wengi wanashindwa au kuchelewa kuwa na kwao

Kwel kabisa mimi nahis nilipaona apo sababu nimeamuaa kujenga nyumba kwanza ya uwezo wangu uku nikijipanga na kusubir Kuja kujenga nyumba ya ndoto zangu
 
amina mkuu, tutafika mdomdo ndio mwendo
 
Kuna majirani 2 Tandale, mmoja alisema hawezi kujenga kibanda kama cha kufugia njiwa, atatoa mjengo kamili , mwingine akawa anajenga chumba kimojakimoja. Sasa miaka karibu 15 yule wa mjengo mkali bado ni boma mwenzake sasa ana chumba 5 na kasebule.
You are true.
Unapojenga usiaangalie cheo chako angalia fedha zako
 
Kiufupi ukiamua kufanya unaweza mimi nilinunua uwanja nikataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu nikapiga msing vizur kabisa nikawa kila nikipiga hesabu nakuta nyumba itanifilisi nikaamua kujenga simple house ya chumba sebule jiko na masta mungu mkubwa atimaye nimemaliza na saiz nipo kujenga fence ili nikiamia nipambane na ii nyumba kubwa

Nilichojifunza amna pesa ndogo duniani na ukiamua unaweza kabisa
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Hongera sana Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani kwa ushauri
 
Hii ni kujisahau. Unapata hela unaweza kulipa Kodi popote unaona huna umuhimu wa kujenga 'nje' ya mji. Siku unashtukia mrija wa pesa umeziba ndio unaanza kujuta.
Mkuu , pia mimi nashukuru kwa ushauri ulionipa nilipoleta ramani ya nyumba kwa ajili ya kuhitaji ushauri na maboresho.
Nashukuru Mungu nilipofika si haba [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Garama ya chumba kimoja ni wastani wa tofali 400 ongeza na choo na tiles na vifaa vya bafuni na gypsam board na madilisha mawili na blandering pamoja na mabati na rangi ambayo kimsingi itakuwa imetumika vyumba vingine. Hoja yangu ni kuwa garama ya kujenga vyumba vitatu haitofautiani Sana na vyumba vinne. Sana Sana utakuwa umeokoa milio 2.5-3
 
Mzeya cost ya hiyo nyumbaa ndogo ikoje?
 

Hongera sana mkuu
 
Mkuu , pia mimi nashukuru kwa ushauri ulionipa nilipoleta ramani ya nyumba kwa ajili ya kuhitaji ushauri na maboresho.
Nashukuru Mungu nilipofika si haba [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Pamoja mkuu. Hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…