Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

Tena kuna mikoa kama geita na Kagera udongo wenyewe unaruhusu kabisa Ila ni vijumba vya ovyo Tu vipo hapo ,watu wanaishi kama tumbili
Wamekosa maarifa, kupitia udongo huo huo wangepata tofali na vigae wakajenga nyumba bora za kisasa
 
Serikali ingezisambaza hizi mashine KILA wilaya zinzunguke vijijini Ili watz wajijengee nyumba bora na sio kuishi kwenye nyumba za udongo na nyasi utadhani panya karne hii
Kabisa mkuu, nyumba za tofali za udongo hazina ubora kabisa
 
Gorofa vipi??inapanda??
Angalia pia miradi ya NHC wanatumia sana. Mwongozo kigamboni
images (2).jpeg
 
Kwahiyo tofali zinapangwa tu bila ya kuunganishwa na cement,je,vipi kuhusu ajali kutokana na kutokushikana hizo tafali mfano tetemeko la ardhi?
Nyuma hizi ni imara mara mbili kuliko za zege, kwenye joint kuna lock kwa hiyo zinashikana vizuri sana. Tetemeko likitokea nyumba haitadondoka huenda ikalegea tu na unaweza kufumua na kujenga upya na tofali hizo hizo.
 
ebwana eeh mbona hii hatari. sasa nimepata matumaini naweza anagalau jenga chumba na sebu le kwenye kiwanja changu. mnapatikana wapi wataalam?
 
Nyuma hizi ni imara mara mbili kuliko za zege, kwenye joint kuna lock kwa hiyo zinashikana vizuri sana. Tetemeko likitokea nyumba haitadondoka huenda ikalegea tu na unaweza kufumua na kujenga upya na tofali hizo hizo.
Ok,Ratio ya cement na udongo ipoje?
 
Back
Top Bottom