Wamekosa maarifa, kupitia udongo huo huo wangepata tofali na vigae wakajenga nyumba bora za kisasaTena kuna mikoa kama geita na Kagera udongo wenyewe unaruhusu kabisa Ila ni vijumba vya ovyo Tu vipo hapo ,watu wanaishi kama tumbili
Kabisa mkuu, nyumba za tofali za udongo hazina ubora kabisaSerikali ingezisambaza hizi mashine KILA wilaya zinzunguke vijijini Ili watz wajijengee nyumba bora na sio kuishi kwenye nyumba za udongo na nyasi utadhani panya karne hii
Kasoro kuna vipimo na settings ya chini(tofali la kwanza)Ishu ya vipimo hapo,fundi maiko
Gorofa vipi??inapanda??
Angalia pia miradi ya NHC wanatumia sana. Mwongozo kigamboniGorofa vipi??inapanda??
Elimu ya ujenzi wa nyumba bora kutumia udongo ingefundishwa mashuleni Ingekuwa poa kabisaKabisa mkuu, nyumba za tofali za udongo hazina ubora kabisa
Usifananishe tofali ya kuchoma na hizi za mtoa mada. Tena ukute imechomwa na kuni uimara wake Ni balaaKabisa mkuu, nyumba za tofali za udongo hazina ubora kabisa
Kuna tofauti ya za kuchoma na udongo tu( zisizochomwa)Usifananishe tofali ya kuchoma na hizi za mtoa mada. Tena ukute imechomwa na kuni uimara wake Ni balaa
Kwahiyo tofali zinapangwa tu bila ya kuunganishwa na cement,je,vipi kuhusu ajali kutokana na kutokushikana hizo tafali mfano tetemeko la ardhi?
Nyuma hizi ni imara mara mbili kuliko za zege, kwenye joint kuna lock kwa hiyo zinashikana vizuri sana. Tetemeko likitokea nyumba haitadondoka huenda ikalegea tu na unaweza kufumua na kujenga upya na tofali hizo hizo.Kwahiyo tofali zinapangwa tu bila ya kuunganishwa na cement,je,vipi kuhusu ajali kutokana na kutokushikana hizo tafali mfano tetemeko la ardhi?
Kwahiyo tofali zinapangwa tu bila ya kuunganishwa na cement,je,vipi kuhusu ajali kutokana na kutokushikana hizo tafali mfano tetemeko la ardhi?
ebwana eeh mbona hii hatari. sasa nimepata matumaini naweza anagalau jenga chumba na sebu le kwenye kiwanja changu. mnapatikana wapi wataalam?Nyuma hizi ni imara mara mbili kuliko za zege, kwenye joint kuna lock kwa hiyo zinashikana vizuri sana. Tetemeko likitokea nyumba haitadondoka huenda ikalegea tu na unaweza kufumua na kujenga upya na tofali hizo hizo.
Ok,Ratio ya cement na udongo ipoje?Nyuma hizi ni imara mara mbili kuliko za zege, kwenye joint kuna lock kwa hiyo zinashikana vizuri sana. Tetemeko likitokea nyumba haitadondoka huenda ikalegea tu na unaweza kufumua na kujenga upya na tofali hizo hizo.
Tupo Dar es salamaebwana eeh mbona hii hatari. sasa nimepata matumaini naweza anagalau jenga chumba na sebu le kwenye kiwanja changu. mnapatikana wapi wataalam?
Mfuko unatoa kwanzia 80 mpaka 100 kulingana na udongo wa eneo lakoOk,Ratio ya cement na udongo ipoje?
Ok so kwa hiyo matofali yapo ready kabisa ni mie kulipa na kuyasomba? Wataalam wa ujenzi mnao?Tupo Dar es salama
Sisi tumekamilika, tofali zitapigiwa site kwako,na ukitaka tukujengeeni wewe tu.Ok so kwa hiyo matofali yapo ready kabisa ni mie kulipa na kuyasomba? Wataalam wa ujenzi mnao?