Huyu mwendazake zaidi ya roho mbaya hakua na laziada,kama ni hayo mnayoita maendeleo ameyafanya kwa pesa za mikopo,sote tunajua mpaka sasa ndio raisi aliekopa pesa nyingi kwa muda mfupi kuliko raisi yoyote.Wakati utaongea na muda utafika na kinywa chako kitasema magufuli ni mwamba wa Afrika, na utakuwa muumini wa magufulification na amini IPO siku utakugusa utawala huu pabaya sana
Walioongea Magufuli akiwa hai wengi walipotea na Ku RIP katika mazingira ya ajabu.Nilichosikia akisema ni kwamba mazungumzo yanaanza, pia kasema hakuna mkataba uliosainiwa kuhusu bandari ya bagamoyo.
Angesema haya maneno Magufuli akiwa hai ingependeza sana,kwa sasa ni kila kitu kusukumiwa marehemu asieweza kujibu lolote
Nimeipenda hii statement, it's thought provokingNchi sio ya marehemu hii. Kama kuna tatizo ni wajibu wa walio hai kupigana.
dah tuliishi kwa hofu sana........haya masukuma ni shidaccm ote wahovyo.ila wakati ule ulikua umezidi.ilifikia wakati mtu upo ndani umeme ukikatika kusema au kulalamika kukatika kwa umeme umatoka kwanza nje na unaangaza kona zote kusiwe na mtu anaesikia.
maana ukisikiwa unalalamika kunahatali ya kushughulikiwa.
hivyo kila kitu kilikua hakiko wazi.
mtu alifikia hata kusema,nitakopa na sisemi nakopa wapi na lini!?
wewe bado unamsifia mtu alikua mzuri.
wanaosifia utawala wa aina ile ndio wanaosababisha kuturudisha nyuma kimaendeleo na mabadiliko kwa ujumla.
Umeongea utumbo sana, ficha aibu pin mindedLengo la huyo magufuri wako ni kubomoa nyumba za wenyeji bila ya kuwalipa lakini kwa vile tayali ilishawekwa kwenye watu kulipwa kwake ilikua nongwa.
Yeye alitaka kufanya kama alivyowafanyia wakazi wa kimara na mbezi. Siku zote alikua hapendi kusikia watu wana hela mifukoni.
Masikini akipata hataki masiki mwingine apate anawaza siku zote kuwakandamiza.kwasababu tu.
Mbona hata yeye alikua kwashida.
Hovyo kabisa!!