The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Safi wamesikiliza mawazo yetu ya Serikali kuanza ujenzi bila kusubiria wanaoitwa Wawekezaji..Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa alibainisha jana kuwa hawatalazimika kusubiri zaidi wawekezaji
Hawezi kusubiri?...ana hela? Huyu Mbossa vipi hapa tulipo miradi kibao haiendi...anataka kuiba sio....hii nchi ina watu wa ajabu sana..Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa alibainisha jana kuwa hawatalazimika kusubiri zaidi wawekezaji kuanza ujenzi wa bandari hiyo.
Kwa mtonyo gani na tozo mnazikataa?Icho kinachofanyika bagamoyo kifanyike mtwara yaani iwe bandari kubwa mno yaani mno east afrika
Wenyewe waijenge tu watu wapate ajiraHapo cha kuangalia sana sana kwa vijana ni ajira kuhusu hayo mambo mengine ya kisiasa sio muhimu sana.. Kwasababu watu wenye professional ya bandarini wengi wao wanaishia kuwa mtaani tu
Badala muendeleze zilizopo mnaanza nyingine, rubbish!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa ingawa bagamoyo ni pwani lakini tanga inapigwa vita sana,kama vipi tungewauzia tu KenyaUpotevu wa pesa za bure kuwafurahisha wakina kikwete. Bandari ya Tanga ambayo tayari kuna mafuta ya uganda yanakuja tusijenge pale tutumie pesa kujenga bandari ya pili Dar. Hii ni miradi binafsi
Alaaupande
Huku ni kutapatapa na kufanya mambo bila plan. Hii bandari itakuja kuwa moja ya kashfa kubwa kuwahi kutokea hapa nchini.Badala muendeleze zilizopo mnaanza nyingine, rubbish!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hapa lazima mchina anakuwa behind the scene, maana huu mradi unalazimishwa na kufosiwa lazima kuna makando kando.Huu utapeli wa kijinga, hatuna uwezo wa kujenga bandari itakayogharimu $10b, reli na bwawa lenyewe ni mwendo wa kinyonga, ndio itakuwa bandari ya $10b? Sana sana waseme watasafisha eneo linalotarajiwa bandari kujengwa.
Kwani kuna sehemu wamesema bandari za Dar Tanga na Mtwara hazifai?Hivi ukiulizwa sababu hasa inayofanya bandari za Tanga, Dar na Mtwara zionekane haifai ila suluhisho ni kuanza kujenga mpya unajua?
Upotevu wa pesa za bure kuwafurahisha wakina kikwete. Bandari ya Tanga ambayo tayari kuna mafuta ya uganda yanakuja tusijenge pale tutumie pesa kujenga bandari ya pili Dar. Hii ni miradi binafsi
Kwanini tusiboreshe tanga, dar na mtwara?