LUKUVI AVUNJA NYUMBA YAKE KUPISHA UJENZI WA BARABARAsi kila mtu anajua jirani ndio kama hivo tena wengi watakufa na presha
Kwa upana wa ile barabara serikali ina uwezo wa kuijenga ile barabara na izo nyumba zisiguswe kabisaaa.....ila kama wameamua zivunjwe poa tu na hata mia wasilipweulaaniwe na uzao wako
Kwa vipi zisiguswe?Kwa upana wa ile barabara serikali ina uwezo wa kuijenga ile barabara na izo nyumba zisiguswe kabisaaa.....ila kama wameamua zivunjwe poa tu na hata mia wasilipwe
Nenda kwenye page ya Instagram ya msemaje mkuu wa Serikali kwenye post ambayo kuna ramani ya Barabara ya Tanga to pangani mpaka Saadan kutokea bagamoyo . kuna Baharia anaitwa nyuni_the_great amembananinsha maswali bila kujibu chochoteHii barabara inapitia mitaa hii ambayo ina wakazi ambao nyumba za zimewekewa X na namba nyekundu. Ni Mwembeduga-Mwan'gombe- Mwakidila- Mwahako- Neema mpaka Pangani.
Sehemu nilizotaja watu wako wansubiria kwa hamu walipwe wapate ziada wajenge na kupata myaji. Lakini nijuavyo ( I stand to be corrected) ukishawekewa alama nyekundu na namba nyekundu ni kuwa wewe ulivamia barabara hulipwi. Naomba kujua ukweli wa hili.
Kama ndivyo hakuna malipo, wawataarifu wananchi waanze kuzoea/ku absorb shock in peace meals maana ni kilio na kusaga meno
nielekeze nione kilichopo i.e how i do i go there please, difficult to see pangani, saadan tanga postInstagram ya msemaje mkuu wa Serikali
Hii barabara imefikia wapi?Siisikii kabisa ikiongelewa.Nenda kwenye page ya Instagram ya msemaje mkuu wa Serikali kwenye post ambayo kuna ramani ya Barabara ya Tanga to pangani mpaka Saadan kutokea bagamoyo . kuna Baharia anaitwa nyuni_the_great amembananinsha maswali bila kujibu chochote