- Thread starter
- #21
LUKUVI AVUNJA NYUMBA YAKE KUPISHA UJENZI WA BARABARAsi kila mtu anajua jirani ndio kama hivo tena wengi watakufa na presha
Akizungumza jana mara baada ya kushiriki zoezi la ubomoaji wa nyumba hiyo, Waziri Lukuvi, alisema kuwa akiwa kama kiongozi ameamua kuwa wa kwanza kuonyesha mfano kwa kuanza kuivunja nyumba hiyo ambayo kimsingi sehemu ya robo ilikuwa imepigwa alama ya X nyekundu na robo tatu ilipigwa alama ya X ya kijani, ila kutokana na kuunga mkono jitihada za Serikali katika ujenzi wa barabara hiyo, ameamua kuivunja yote na hatadai malipo yoyote.