Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Amani Msumari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
1,830
Reaction score
972
Mgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia itapunguza muda wa safari.

1.jpg
2.jpg
3.jpg

#2020 kura zote kwa John

Amani
 
Huyu mzee sijui mtampinga kwanini? Siku akianza kugawa zile 50M kila kijiji sindio mtalegea kabisa 😂😂😂

Maana kimsingi ni hela ndogo sana ikigawiwa kwa awamu awamu.
 
2015 ushindi ulikua controversial. Hii 2020 huyu jamaa ni anapita bila mtu kuhisi kama kuna mwingine kaonewa.

Anyway, barabara ya Shekilango inapitika na ule mto Ng'ombe kingo zake zishatengenezwa.

Bonde la Mkwajuni naona wanaendelea kulitengeneza.
 
Back
Top Bottom