Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #41
Kabisa. Halafu CCM bhana yan wanajua sana ile amsha amsha. Hivi ninavyoongea na wewe ni kuwa mzee bado hajafika ila lile mwewe kubwa la kijani ndio linavinjari kwenye anga la korogwe kuleta hamasa. Uwanja wa TTC Korogwe umependeza sana. Tulifika pale tukajitolea kufyeka na kufanya usafi. CCM ni chama cha watu achana na Mshana Jr ambaye anaota ndoto za mchana kweupe mbuzi anakula majaniDaaaah. Mitano tena wallahi