Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Kuishukuru serikali kwa kujenga miundombinu ni sawa na kuishukuru ATM Machine baada ya kutoa pesa zako mwenyewe kwenye akaunti yako.
 
Kampuni ya Mayanga, WIZI MTUPUkidaraja chembamba kama kivuko cha watembea kwa miguu Buguruni Shell.

#NIYEYE Rais ni Lissu awamu ya6.
Lofa wewe, wewe si unayajua maendeleo ya watu tu, mbona unayaingilia maendeleo ya vitu umeanza kuyajua lini? Au ndo vichip vinawawasha.
 
Kuishukuru serikali kwa kujenga miundombinu ni sawa na kuishukuru ATM Machine baada ya kutoa pesa zako mwenyewe kwenye akaunti yako.
Sijui umeandika kwa kutumia nini hapo, mathalani ni sawa na kutomshukuru baba yako kwa kukulipia ada ya shule eti kisa ni wajibu wake, sasa angepeleka hiyo pesa kwa mchepuko ungeipata? Acha ulofa wewe.
 
tunafarijika mana mlikua mnasubiri watu wafe...

kura zote kwa Tundu Lissu
 
Hongera kwa serikali. Japo wamechelewa sana. Mpaka ajali zitokee ndio waje kujenga?
Kwann wasingejenga before walipoona daraja linazidiwa?
Acha maswali ya kichawi bana.We kama humpi kura usimpe ila hili swali lako limekaa kama mtu ambaye anatafuta ugomvi.ILA ni Jambo zuri sana hili limefanyika ila KURA bado tutampa MTOTO wa LISSU
 
Magufuli baba lao

Msaliti wa Nchi Lissu hoi
Serikali inayokumbatia mashoga haitufai. Serikali ya Magufuli inakumbatia mashoga

Screenshot_2020-10-19-15-59-17-761_com.android.chrome.jpg
 
Sijui umeandika kwa kutumia nini hapo, mathalani ni sawa na kutomshukuru baba yako kwa kukulipia ada ya shule eti kisa ni wajibu wake, sasa angepeleka hiyo pesa kwa mchepuko ungeipata? Acha ulofa wewe.
serikali sio baba yangu kwasababu inatumia jasho langu ambayo ni kodi nayolipa kwenye kila bidhaa nayonunua kwa pesa yangu.

Tafuta mfano mwingine huu umebuma.
 
Angeanza na hiyo changamoto kabla ya kule ambako haikuwa priority ya Taifa. Ila nimesahau Charity starts at home.
Angejenga daraja kabla ya Chato International Airport maisha yaliyopotea hapo Wami yangeokolewa!
 
Tafakuri katika picha
Macho yote yatamwangalie yeye. Maskio yote yatamwangalie yeye
Screenshot_20201018-111458_1603115382434.jpg
 
Back
Top Bottom