Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Waziri wa ujenzi wa TL ata lifungua ili daraja[emoji2960]mataga watapinga
 
Hilo daraja la wami linatusaidia vipi sisi watu wa Ileje?
 
Hivi si ni kodi zetu Eehh?
Hapo ulipo ukute huna hata TIN number,na TRA haujulikani.Ikitokea unajulikana basi huenda kodi yako ya mwaka mzima isitoshe hata kununua mifuko kumi ya cement, ila unavyopiga kelele Sasa🤣🤣🤣.

Unaposema miradi imejengwa kwa Kodi zetu, unamkumbusha nani asiejua? Na hizo kodi zimeanza kulipwa wakati wa utawala huu? Mbona huko nyuma haikuwepo?
 
Hilo daraja la wami linatusaidia vipi sisi watu wa Ileje?
Wewe hausafiri, wala kufanya biashara zenye kuhitaji miundombinu imara ndio maana hauwezi kuelewa umuhimu wa hilo daraja.Subiria uletewe hela huko Ileje.
 
Mgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia itapunguza muda wa safari.


#2020 kura zote kwa John

Amani

Itakuwa ww ni mgeni ccm au unaihujumu, kwa sasa hivi miradi yote ya ccm hakuna ulioko chini ya 85%. Ikiwezekana rudi shule ya propaganda ukaelekezwe namna ya kuripoti miradi ya awamu ya tano. Mradi wa SGR toka mwaka jana mwezi wa nne, tunaambiwa kipande cha Dar-Moro kiko 85% lakini mpaka sasa haujamilika!
 
Napongeza awamu hii kwa kukumbuka hilo daraja
 
TL kwa lipi hasa alichofanya?
Screenshot_20201018-145123_1603087247616.jpg
 
Wewe hausafiri, wala kufanya biashara zenye kuhitaji miundombinu imara ndio maana hauwezi kuelewa umuhimu wa hilo daraja.Subiria uletewe hela huko Ileje.

That went over your head 😂
 
Wajinga wengi hupenda kusifiwa watimizapo majukumu yako na wapumbavu wengi huwasifia hawa wajinga.
 
Back
Top Bottom