Mgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia itapunguza muda wa safari.
#2020 kura zote kwa John
Jamani Huyu Mpendwa wetu tuliyeshushiwa na Mwenyezi Mungu tumpatie kula za kishindo hadi roho yake ifurahi kwani si kwa kutupenda huku Watanzania.Popote uliko,hakikisha jirani uliye karibu naye anampatia Mheshimiwa Dr.John Pombe Joseph Magufuli kura ya ndio hapo Oktoba 28 na waachane na hivyo vitu vingine pia tumpatie wabunge wa chama chake afanye mazuri na makubwa zaidi .Najua wengine watanuna. Yaani Baba Magufuli umetupenda kupita kiasi .Sisi ni viburi kama tusipokurudisha ni ukaidi wetu tu Baba.najua watu wa Libya wananielewa ninachozungumza