Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Huyu mzee sijui mtampinga kwanini? Siku akianza kugawa zile 50M kila kijiji sindio mtalegea kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maana kimsingi ni hela ndogo sana ikigawiwa kwa awamu awamu.
 
2015 ushindi ulikua controversial. Hii 2020 huyu jamaa ni anapita bila mtu kuhisi kama kuna mwingine kaonewa.

Anyway, barabara ya Shekilango inapitika na ule mto Ng'ombe kingo zake zishatengenezwa.

Bonde la Mkwajuni naona wanaendelea kulitengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…