Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Membe; Tanzania haina hela
Zipo pesa nyingi sana na zinapigwa tu. Hivi hawa wawekezaji wanakuja kufuata nini Tz kama ni maskini? Ukichunguza sana utakuta wamo watu nyuma ya hiyo mikataba. Ni deal tu. Tumesikia ya Airport mpya anayeijenga au aliyeijenga. Uadilifu uko wapi? Iko pesa ila inaliwa kijanja.

Sasa iwe mwisho na mwadilifu wa kweli asiye na waa wala skendo ameshapatikana. Nimebadili gear angani
 
Haya ndo maendeleo ya vitu yagusayo watu ndo tunayataka, yangeanza tangu 2015 kura zote kwake.
 
Apite kwa haki bila kuumiza wengine ndo ombi letu
 
Kubwa ni kuwa CCM chini ya Magufuli inajenga daraja hilo lenye umuhimu mkubwa na ambalo ni kiunganishi kikubwa Kati ya mikoa ya kaskazini/kaskazini mashariki na mikoa ya mashariki pamoja na Moro
 
JPM kiboko yao.
Acha kabisa. Tayari nipo wilayani korogwe ambapo JPM atafanya kampeni ya mkoa hapo Kesho, yan mji wore n kijani kibichi. Viongozi wetu wa CCM wa mkoa na wilaya wanafanya kazi nzuri sana. Miongoni mwa viongozi hao wala hawatoki mkoa wa Tanga. Inamaana kama ingekuwa ni serikali ya majimbo tusingekuwa nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…