Ni lazima waichunie kwa sababu ubongo wako unatoa tongotongo. Haya mambo ya kusifu-sifu, kujipendekeza bila aibu kunafanya watawala wajae kiburi na kujiona kama miungu.Thread Yangu mmeichunia
Ni lazima waichunie kwa sababu ubongo wako unatoa tongotongo. Haya mambo ya kusifu-sifu, kujipendekeza bila aibu kunafanya watawala wajae kiburi na kujiona kama miungu. Huwezi kutoa ushauri bila kusifu? Hili limekuwa kama janga la nchi. Watu hawawezi kuelezea matatizo yao bila kwanza kusifu kwa unafiki.
Kwa nini asione kila kona ya nchi wakati ana wateuli kila kona tena wanalipwa mishahara mikubwa na kutembelea magari ya kifahari?.Ni kawaida unapotaka hoja yako isikilizwe na watawala ni vema ukaanza na strengths na mwisho ukaonesha weaknesses nakushauri ipasavyo na hiki mama ndo anochotaka kwa yeye hawezi kuona kila kona ya nchi.
*Unaomba kipande cha barabara ya lami kutoka Bunju B hadi Mabwepande hospital wakati una haki ya kudai barabara kamili kutoka Mbezi mwisho kupitia Mpiji/Magoe, Mabwepande hadi Bunju B na Makabe, Msumi, Mbopo hadi Bunju B.Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande...
Barabara hiyo itasaidia mabasi yanayoelekea kaskazini mwa nchi kutolazimika kuzunguka kwa kupitia barabara ya Mbezi to Goba to Masana.*Unaomba kipande cha barabara ya lami kutoka Bunju B hadi Mabwepande hospital wakati una haki ya kudai barabara kamili kutoka Mbezi mwisho kupitia Mpiji/Magoe, Mabwepande hadi Bunju B na Makabe, Msumi, Mbopo hadi Bunju B....
*Unaomba kipande cha barabara ya lami kutoka Bunju B hadi Mabwepande hospital wakati una haki ya kudai barabara kamili kutoka Mbezi mwisho kupitia Mpiji/Magoe, Mabwepande hadi Bunju B na Makabe, Msumi, Mbopo hadi Bunju B.
Hizo barabara ni haki ya wananchi wanaoishi maeneo hayo
Bunju B kuna hospitali kubwa iitwayo Mama Samia na ina hadhi ya mkoa na kwa sasa kuanzia Bunju B hadi Mabwepande ardhi yote imejengwa nyumba za kusihi wananchi na wanafanya kazi maeneo mbalimbali jijini Dar kwanini unawalazimisha waende Bunju A? Wana haki ya kuwa na barabara za lami kama walivyo wa Bunju A, Mbweni, au Tegeta.Mnaenda mabwepande kufanya nini wakati Bunju A kuna hospitali kubwa?
Thread Yangu mmeichunia
*Unaomba kipande cha barabara ya lami kutoka Bunju B hadi Mabwepande hospital wakati una haki ya kudai barabara kamili kutoka Mbezi mwisho kupitia Mpiji/Magoe, Mabwepande hadi Bunju B na Makabe, Msumi, Mbopo hadi Bunju B.
Hizo barabara ni haki ya wananchi wanaoishi maeneo hayo
Mtafute Josephat Gwajiboy haraka sana ! Na umwambie 2025 bila hiyo barabara Bunju B mpaka Mbezi Luis 21 km basi ubunge atausikia bombani!
Mnaenda mabwepande kufanya nini wakati Bunju A kuna hospitali kubwa?
Miongoni mwa watu ambao walikuwa washabiki kindakindaki wa huyo bwana walikuwa mimi mmojawapo lakini hivi ninavyokwambia hata hamu sina!
Jamaa amekuwa Mtetezi wa waovu wavamizi wa maeneo ya watu. [emoji848]
Amekuwa kikwazo kikubwa katika utekelezaji wa kutatua migogoro ya ardhi jimboni mwake!
Natamani ujumbe huu umfikie popote alipo ajue jinsi alivyo disappoint watu .
Tulitarajia kwa vile yeye ni kiongozi wa dini angewiwa kusimama kwenye haki badala yake anasimama na wahalifu wavamizi wezi matapeli majambazi