Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

kkitabu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
144
Reaction score
49
Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande.

Hata hivyo, tunaomba kipande cha barabara kutoka hospitalini hadi Bunju B kiwekee lami.

Hii itasaidia kwa wakina mama hasa wajawazito watakapolazimika kupewa uhamisho wa kwenda hospitali nyingine kubwa kama vile Muhimbili, Rabinisia, Mwananyamala nk. Mama usikate tamaa kazi unayofanya tunaiona.
 
Thread Yangu mmeichunia
Ni lazima waichunie kwa sababu ubongo wako unatoa tongotongo. Haya mambo ya kusifu-sifu, kujipendekeza bila aibu kunafanya watawala wajae kiburi na kujiona kama miungu.

Huwezi kutoa ushauri bila kusifu? Hili limekuwa kama janga la nchi. Watu hawawezi kuelezea matatizo yao bila kwanza kusifu kwa unafiki.
 
Ni lazima waichunie kwa sababu ubongo wako unatoa tongotongo. Haya mambo ya kusifu-sifu, kujipendekeza bila aibu kunafanya watawala wajae kiburi na kujiona kama miungu. Huwezi kutoa ushauri bila kusifu? Hili limekuwa kama janga la nchi. Watu hawawezi kuelezea matatizo yao bila kwanza kusifu kwa unafiki.

Ni kweli kabisa ulichoandika!

Halafu nimeshangaa Mleta Mada ameanza kusema neno “ Tunaomba “

Nikachukulia kuwa huenda ni sababu ya kiwango chake cha ufahamu.
 
Unaomba kitu kama ni hisani.

Lakini iwapo ni wajibu wake humuombi unamtaka au kumdai.

Huwa nafurahishwa na Wakenya [emoji28] wakifika hotelini au dukani anasema nataka kitu fulani, nipe kitu fulani, lete hapa n.k

Ni ishara ya kujiamini na kujitambua .
 
Ni kawaida unapotaka hoja yako isikilizwe na watawala ni vema ukaanza na strengths na mwisho ukaonesha weaknesses nakushauri ipasavyo na hiki mama ndo anochotaka kwa yeye hawezi kuona kila kona ya nchi.
 
Kwa nini asione kila kona ya nchi wakati ana wateuli kila kona tena wanalipwa mishahara mikubwa na kutembelea magari ya kifahari?.
 
Kwa kuwa mmojawapo wa wateule wake ni Prof Mbalawa na kipande hicho cha barabara kipo chini ya TANROAD. Hoja hii inamhusu, hivyo nashauri aifanyie kazi.
 
Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande...
*Unaomba kipande cha barabara ya lami kutoka Bunju B hadi Mabwepande hospital wakati una haki ya kudai barabara kamili kutoka Mbezi mwisho kupitia Mpiji/Magoe, Mabwepande hadi Bunju B na Makabe, Msumi, Mbopo hadi Bunju B.

Hizo barabara ni haki ya wananchi wanaoishi maeneo hayo
 
*Unaomba kipande cha barabara ya lami kutoka Bunju B hadi Mabwepande hospital wakati una haki ya kudai barabara kamili kutoka Mbezi mwisho kupitia Mpiji/Magoe, Mabwepande hadi Bunju B na Makabe, Msumi, Mbopo hadi Bunju B....
Barabara hiyo itasaidia mabasi yanayoelekea kaskazini mwa nchi kutolazimika kuzunguka kwa kupitia barabara ya Mbezi to Goba to Masana.
 
*Unaomba kipande cha barabara ya lami kutoka Bunju B hadi Mabwepande hospital wakati una haki ya kudai barabara kamili kutoka Mbezi mwisho kupitia Mpiji/Magoe, Mabwepande hadi Bunju B na Makabe, Msumi, Mbopo hadi Bunju B.

Hizo barabara ni haki ya wananchi wanaoishi maeneo hayo

Barabara hii ingerahisisha mabasi ya mkoa yakifika Bunju badala ya kwenda tegeta yapite bunju - mabwepande- Mbopo -Madale mwisho kisha njia ya kwenda Goba mpaka mbezi terminal
 
Mnaenda mabwepande kufanya nini wakati Bunju A kuna hospitali kubwa?
Bunju B kuna hospitali kubwa iitwayo Mama Samia na ina hadhi ya mkoa na kwa sasa kuanzia Bunju B hadi Mabwepande ardhi yote imejengwa nyumba za kusihi wananchi na wanafanya kazi maeneo mbalimbali jijini Dar kwanini unawalazimisha waende Bunju A? Wana haki ya kuwa na barabara za lami kama walivyo wa Bunju A, Mbweni, au Tegeta.
 
*Unaomba kipande cha barabara ya lami kutoka Bunju B hadi Mabwepande hospital wakati una haki ya kudai barabara kamili kutoka Mbezi mwisho kupitia Mpiji/Magoe, Mabwepande hadi Bunju B na Makabe, Msumi, Mbopo hadi Bunju B.

Hizo barabara ni haki ya wananchi wanaoishi maeneo hayo

Na zimecheleweshwa sana !
 
Mtafute Josephat Gwajiboy haraka sana ! Na umwambie 2025 bila hiyo barabara Bunju B mpaka Mbezi Luis 21 km basi ubunge atausikia bombani!

Miongoni mwa watu ambao walikuwa washabiki kindakindaki wa huyo bwana walikuwa mimi mmojawapo lakini hivi ninavyokwambia hata hamu sina!

Jamaa amekuwa Mtetezi wa waovu wavamizi wa maeneo ya watu. [emoji848]

Amekuwa kikwazo kikubwa katika utekelezaji wa kutatua migogoro ya ardhi jimboni mwake!

Natamani ujumbe huu umfikie popote alipo ajue jinsi alivyo disappoint watu .

Tulitarajia kwa vile yeye ni kiongozi wa dini angewiwa kusimama kwenye haki badala yake anasimama na wahalifu wavamizi wezi matapeli majambazi
 
He is simply bogus ! Hakuna maendeleo jimboni Kawe Yatakuja under this idiot ! Pamoja na udhalimu mkubwa wa ccm but at least sehemu nyingi Dar kuna lami na miundo mbinu mbalimbali! Not Kawe constituency
 
Back
Top Bottom