Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande.
Hata hivyo, tunaomba kipande cha barabara kutoka hospitalini hadi Bunju B kiwekee lami.
Hii itasaidia kwa wakina mama hasa wajawazito watakapolazimika kupewa uhamisho wa kwenda hospitali nyingine kubwa kama vile Muhimbili, Rabinisia, Mwananyamala nk. Mama usikate tamaa kazi unayofanya tunaiona.