Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
- Thread starter
-
- #21
ah..ah... mkuu acha kuwaza mawazo finyuWalimu chapeni kazi nyie si ndio wamaccm na chama kinawaamini?
Mnasimamia uchaguzi sembuse ujenzi wa madarasa??
Tatizo kujipendekeza sana ili mpewe vyeo.
Hata huku ni hivyo hivyo. Mtendaji kata anakagua, Diwani anakagua, Afisa elimu kata anakagua, Mkuu wa wilaya anakagua, Mkurugenzi anakagua, Mhandisi wa wilaya anakagua, Afisa elimu mafunzo ya ufundi stadi anakagua...(Hapo ni ngazi ya wilaya tu na sijawataja wote).Mimi namuona mwalimu mmoja hapa sengerema kawa kama mwendawazimu. Anashindwa aanze na lipi amalize na lipi....! Kila leo maagizo
Na madawati 20 unapata😀Huu utaratibu wa sasa ni mzuri sana sana... Enzi za wazabuni darasa moja lilijengwa kwa mil 60 kwasasa naelekea kumaliza jengo kwa mil 20 na chenji inabaki
HONGERA SANAHuu utaratibu wa sasa ni mzuri sana sana... Enzi za wazabuni darasa moja lilijengwa kwa mil 60 kwasasa naelekea kumaliza jengo kwa mil 20 na chenji inabaki
Sio 20 tu mkuu, ni madawati 45... Jengo standard marumaru , aluminium nkNa madawati 20 unapata😀
Mkuu BOQ inaelekeza vingine sokoni vingine. Kwa mfano bei elekezi ya kiti na meza ni sh.34,000/= mitaani shilingi 65,000/= Kazi iendeleeNa madawati 20 unapata😀
hapo patamu....Sio 20 tu mkuu, ni madawati 45... Jengo standard marumaru , aluminium nk
.. hapa ninachofuata ni maelekezo ya Mhandisi tu, maana ndio anaesign nyaraka zote.. na posho kidogo nampa kiroho safi. Hao wengine wanakuja tu kusafisha macho yaoHata huku ni hivyo hivyo. Mtendaji kata anakagua, Diwani anakagua, Afisa elimu kata anakagua, Mkuu wa wilaya anakagua, Mkurugenzi anakagua, Mhandisi wa wilaya anakagua, Afisa elimu mafunzo ya ufundi stadi anakagua...(Hapo ni ngazi ya wilaya tu na sijawataja wote).
Kinachosikitisha wengine hata BOQ hawaisomi ila wanatoa maelekezo tu...daaah.
sasa mbona unalalamika hapa wewe mwenye mawazo mapana?ah..ah... mkuu acha kuwaza mawazo finyu
sikuenda kusomea ukuuVictor Willbard Mlaki hujapewa tu ukuu wa shule toka umerudi toka masomoni ulikoenda kuchukua Master's.
Hicho ndicho wanachojua tu. Badala waende kusoma wachape kazi. Wanaenda kusoma ili wafanye kazi kidogo malipo makubwa.Victor Willbard Mlaki hujapewa tu ukuu wa shule toka umerudi toka masomoni ulikoenda kuchukua Master's.
Lakini kwa kiwango chako cha elimu na uzoefu kazini inabidi wilayani wakufikirie kukupa shule uongoze.sikuenda kusomea ukuu
Hizi serikali za nchi za kiafrika ni bure kabisa. Kwa nini wasingetangaza tenda wampe mkandarasi mmoja au wawili au idadi inayofaa wajenge? Serikali ibaki kwenye usimamizi tuah..ah.. hii kuna mahali wanafanya halafu wakaguzi wanawaliza wakuu wa shule juu ya bati. Majibu hawana wanaamua kunyamaza kuwalinda maafisa wao.
Sikusoma ili kupata kiwango cha kupewa shule kuongoza ila kupanua maarifa yangu kwa maslahi yangu na ya jamii yangu. Kwa kifupi sikusomea cheo chochote kile na wala sina habari hizo. Uzi unalenga madhila wanayoyapata wakuu wetu juu ya ujenzi wa madarasa unaoendelea nchini .Lakini kwa kiwango chako cha elimu na uzoefu kazini inabidi wilayani wakufikirie kukupa shule uongoze.
tatizo hapo litakuja kwenye mudaTumieni wakandarasi;
Tangaza tenda,
Mpe kazi mkandarasi,
Lipa kwa mujibu wa sheria.
Mfano;
25% malipo ya awali
25% nusu ya kazi
25/% akimaliza kazi
25% baada kuthibitisha
ubora wa kazi.
NB:
Kila h/mashauri ina mhandisi
na team ya ufuatiliaji.
Hamko peke yenu,chapeni
kazi.
unaelewa unachochangia kweli?...Hicho ndicho wanachojua tu. Badala waende kusoma wachape kazi. Wanaenda kusoma ili wafanye kazi kidogo malipo makubwa.