Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated
Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan, matokeo yake Gorofa inayojengwa wamechimba sana hadi kwenda ku disturb foundation ya gorofa la pembeni, kitu kikaitika.
Huu ni uzembe wa Mamlaka husika na sitegemei kama wanapaswa kuendelea kuwepo ofisini as we speak !
Magorofa ya KKO yote hayafuati Viwango , Quality Assurance na Quality Control ipo compromised sana kwa rushwa kutoka mamlaka za vibali. Hata kama kweli unazo hela, ndio ukamilishe ujenzi wa gorofa kwa wiki mbili ?
NI MAMLAKA GANI INAYOHUSIKA KUTOA VIBALI,? Hawapaswi kuwa Ofisini, watawamaliza watanzania wote,
Nendeni mkachunguze,Gorofa zinajengwa mid night, umbali kati ya gorofa na gorofa ni zero distance kiasi kwamba wakati wa uchimbaji ukikosea code, unaathiri foundation ya gorofa lingine na haya yote yanafanyika huku mamlaka husika zikitazama.
Kama mtaendeleza Uchawa kwa viongozi wenu nyie vijana wa Lumumba , tambueni mpo kwenye nyumba mnayoibomoa wenyewe
Samia ni continuation ya JPM , chini ya utawala wa Samia kuna matukio mengi ya uwajibika hayachukuliwi hatua, utitiri wa gorofa KKO ni mwingi mamlaka husika hazina habari , nchi ni kama haina msimamizi, fanya lolote isipokuwa usiwakosoe, ukiwakosoa utawaona wazee wa Noah nyeusi zisizokuwa na plate number wakijiita watekaji kumbe ni wale wale
Serikali yaani CCM Kama hamtoweka Contigency plans za kureview vibali vyote ambavyo ujenzi wake unaambatana na zero distance ya gorofa lingine, get prepared for the worst;
Ni wiki 1 tu , nilizungumzia hii ishu hapa
Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?, Leo yametokea.
Wengine tumeenda shule sio kuwa wajinga au kusujudia teuzi na uchawa, tumeenda shule ili kuwa more realistic na kuitazama dunia in a big picture
Nyie wazee wa anaupiga mwingi , ameweza ametimiza, endeleeni kupiga makofi, uzuri KKO ni njia ya Watanzania wote
PIA SOMA
- Breaking News: - Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16