Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

Vijana wa elfu mbili,wengi wao wanafikiri hii ni mara ya kwanza kwa Ghorofa kuanguka Dar,akiwemo mleta mada.
Najua historia ya KKO nimezaliwa na kukulia hapo. Huna cha kunifundisha kuhusu ya KKO , hata gorofa lililoanguka KKO chini ya Injia Mchina enzi za JK nilikuwepo just near by na sababu hazikuwa sababu kwenye mada

Elewq mada
 
Hilo jengo ni la zamani

Ila nimeona moja linajengwa sinza mugabe pale hadi nikasimama kushangaa kidogo. Yaani jamaa wamechimba chini wamepanga mambao sasa ajabu pembeni kuna ghorofa lingine, na lenyewe kama linaninginia kutokana na hao jamaa jirani wanaochimba.

Sijawahi kuona ujenzi huo na sina ujuzi wa ujenzi lakini nilishtuka kidogo.
Na hii ndio sababu gorofa kudondoka, kama watoa vibali wasipochukuliwa hatua stahiki, tutegemee maafa mengi, magorofa mengi ya KKO ni ya zamani, unapotoa kibali ujenzi wa gorofa lingine pembeni yake , kama Technical personnel lazima ufanye analysis na kuangalia risk kabla huja issue kibali

Huu it means tupo kwenye utawala wa hovyo usiokuwa na uwajibikaji
 
Kwahiyo kwa sasa ni hatari kupita karibu na msingi wa ghorofa unaochimbwa chini sana ambapo pembeni kuna ghorofa la zamani linaloning'inia pembeni ya msingi unaochimbwa
Hatari sana , gorofa za zaman hawakuwa wanachimba sana

Ya sasa wanaenda deep
Mengine pia yanafanywa chap chap yakamilike, mtu kakopa bank bilions na anatakiwa marejesho haraka
 
😂😂 binafsi sija ambatana na wewe , hapa nachangia tu kama wewe unavyofanya , natumia haki yangu ya kuchangia bila matusi kama watu waungwana wanavyofanya , thibitisha uwepo wa jehanam , kama hauwezi una haki ya kunamaza pia🤔

😂😂 binafsi sija ambatana na wewe , hapa nachangia tu kama wewe unavyofanya , natumia haki yangu ya kuchangia bila matusi kama watu waungwana wanavyofanya , thibitisha uwepo wa jehanam , kama hauwezi una haki ya kunyamaza pia🤔
Ushauri wako uliotoa kwenye post #27 ungeufuata ingependeza zaidi. Au unataka league na mimi?
 
Najua historia ya KKO nimezaliwa na kukulia hapo. Huna cha kunifundisha kuhusu ya KKO , hata gorofa lililoanguka KKO chini ya Injia Mchina enzi za JK nilikuwepo just near by na sababu hazikuwa sababu kwenye mada

Elewq mada
Mbona utetezi umekua mrefu sana,tena kwa kutoa povu kama mganjwa wa kifafa? Uzi wako umelaumu utawala uliopo,ndio maana nikasema kua vijana wengi wanafikiri hili ni ghorofa la kwanza kuanguka,tena kwenye utawala huu,

Hilo Jengo limejengwa mwaka gani?
 
Mbona utetezi umekua mrefu sana,tena kwa kutoa povu kama mganjwa wa kifafa? Uzi wako umelaumu utawala uliopo,ndio maana nikasema kua vijana wengi wanafikiri hili ni ghorofa la kwanza kuanguka,tena kwenye utawala huu,

Hilo Jengo limejengwa mwaka gani?
Nendq kwenye kitabu cha majengo utaona ni mwaka gani bwana mdogo
 
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated

Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan, matokeo yake Gorofa inayojengwa wamechimba sana hadi kwenda ku disturb foundation ya gorofa la pembeni, kitu kikaitika.

Huu ni uzembe wa Mamlaka husika na sitegemei kama wanapaswa kuendelea kuwepo ofisini as we speak !
Magorofa ya KKO yote hayafuati Viwango , Quality Assurance na Quality Control ipo compromised sana kwa rushwa kutoka mamlaka za vibali. Hata kama kweli unazo hela, ndio ukamilishe ujenzi wa gorofa kwa wiki mbili ?

NI MAMLAKA GANI INAYOHUSIKA KUTOA VIBALI,? Hawapaswi kuwa Ofisini, watawamaliza watanzania wote,

Nendeni mkachunguze,Gorofa zinajengwa mid night, umbali kati ya gorofa na gorofa ni zero distance kiasi kwamba wakati wa uchimbaji ukikosea code, unaathiri foundation ya gorofa lingine na haya yote yanafanyika huku mamlaka husika zikitazama.

Kama mtaendeleza Uchawa kwa viongozi wenu nyie vijana wa Lumumba , tambueni mpo kwenye nyumba mnayoibomoa wenyewe

Samia ni continuation ya JPM , chini ya utawala wa Samia kuna matukio mengi ya uwajibika hayachukuliwi hatua, utitiri wa gorofa KKO ni mwingi mamlaka husika hazina habari , nchi ni kama haina msimamizi, fanya lolote isipokuwa usiwakosoe, ukiwakosoa utawaona wazee wa Noah nyeusi zisizokuwa na plate number wakijiita watekaji kumbe ni wale wale

Serikali yaani CCM Kama hamtoweka Contigency plans za kureview vibali vyote ambavyo ujenzi wake unaambatana na zero distance ya gorofa lingine, get prepared for the worst;

Ni wiki 1 tu , nilizungumzia hii ishu hapa
Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?, Leo yametokea.

Wengine tumeenda shule sio kuwa wajinga au kusujudia teuzi na uchawa, tumeenda shule ili kuwa more realistic na kuitazama dunia in a big picture

Nyie wazee wa anaupiga mwingi , ameweza ametimiza, endeleeni kupiga makofi, uzuri KKO ni njia ya Watanzania wote !
 

Attachments

  • IMG-20241116-WA0046.jpg
    IMG-20241116-WA0046.jpg
    226.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom