Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

Vijana wa elfu mbili,wengi wao wanafikiri hii ni mara ya kwanza kwa Ghorofa kuanguka Dar,akiwemo mleta mada.
Najua historia ya KKO nimezaliwa na kukulia hapo. Huna cha kunifundisha kuhusu ya KKO , hata gorofa lililoanguka KKO chini ya Injia Mchina enzi za JK nilikuwepo just near by na sababu hazikuwa sababu kwenye mada

Elewq mada
 
Na hii ndio sababu gorofa kudondoka, kama watoa vibali wasipochukuliwa hatua stahiki, tutegemee maafa mengi, magorofa mengi ya KKO ni ya zamani, unapotoa kibali ujenzi wa gorofa lingine pembeni yake , kama Technical personnel lazima ufanye analysis na kuangalia risk kabla huja issue kibali

Huu it means tupo kwenye utawala wa hovyo usiokuwa na uwajibikaji
 
Kwahiyo kwa sasa ni hatari kupita karibu na msingi wa ghorofa unaochimbwa chini sana ambapo pembeni kuna ghorofa la zamani linaloning'inia pembeni ya msingi unaochimbwa
Hatari sana , gorofa za zaman hawakuwa wanachimba sana

Ya sasa wanaenda deep
Mengine pia yanafanywa chap chap yakamilike, mtu kakopa bank bilions na anatakiwa marejesho haraka
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ binafsi sija ambatana na wewe , hapa nachangia tu kama wewe unavyofanya , natumia haki yangu ya kuchangia bila matusi kama watu waungwana wanavyofanya , thibitisha uwepo wa jehanam , kama hauwezi una haki ya kunamaza pia๐Ÿค”

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ binafsi sija ambatana na wewe , hapa nachangia tu kama wewe unavyofanya , natumia haki yangu ya kuchangia bila matusi kama watu waungwana wanavyofanya , thibitisha uwepo wa jehanam , kama hauwezi una haki ya kunyamaza pia๐Ÿค”
Ushauri wako uliotoa kwenye post #27 ungeufuata ingependeza zaidi. Au unataka league na mimi?
 
Najua historia ya KKO nimezaliwa na kukulia hapo. Huna cha kunifundisha kuhusu ya KKO , hata gorofa lililoanguka KKO chini ya Injia Mchina enzi za JK nilikuwepo just near by na sababu hazikuwa sababu kwenye mada

Elewq mada
Mbona utetezi umekua mrefu sana,tena kwa kutoa povu kama mganjwa wa kifafa? Uzi wako umelaumu utawala uliopo,ndio maana nikasema kua vijana wengi wanafikiri hili ni ghorofa la kwanza kuanguka,tena kwenye utawala huu,

Hilo Jengo limejengwa mwaka gani?
 
Nendq kwenye kitabu cha majengo utaona ni mwaka gani bwana mdogo
 
 

Attachments

  • IMG-20241116-WA0046.jpg
    226.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ