Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

Hoja zako zote nzuri lakini umeamua tu kumchafua Rais Samia.

Hapa kuna hili jengo la Kisutu lildondoka mwaka 2013 na Rais alikuwa Kikwette.

 
Kwani Hilo jengo limejengwa awamu ya sita?
 
Huyo aliyekuwa anajenga jirani na gorofa lililoangukaaaa
Jaribu kuelewa,namsipo elewa tutaendelea kufa kama nzigeeee au funzaaaa

Ova
Ndiyo ID yako nyingine!?..so alikua akijenga bila kibali au alipata kibali bila assessment?..ndiyo ghorofa pekee kujengwa kipindi cha samia hapo kkoo!?..na samia anahusikaje na assessment ya kujenga ghorofa kkoo!?
 
Boss liliobomoka lipo pembeni ya ghorofa jipya linalojengwa sasa hivi mdau anahisi ujenzi huo unaoendelea unaweza kuwa umeathiri uimara wa hili lililoporomoka na kama utakuwa unafika kkoo hvi karibuni utaelewa vzr anachozungumzia jamaa
Ujenzi unaondelea pembeni ya ghorofa hilo ndio umesababisha kuanguka kwa jengo hilo hata mashuhuda wanasema kuna shimo kubwa limechimbwa pembeni ya ghorofa lililoanguka na nguzo zimeguswa
 
Wakongwe kama nyie nilifikiri mnaupeo wa hali ya juu sana kutufundisha sisi tunaouliza kutaka kujua πŸ€”πŸ€”πŸ€” ila nashangaa mno umefanya hili kuwa kama vita πŸ˜‚πŸ˜‚
Kusema kuwa sina muda kujibu swali lako ndiyo imekuwa vita? Una zaidi ya swali na ndiyo maana nimekukataa. Shida yako ni kuisema awamu ya sita kuwa ni awamu ya giza. Narudia tena awamu ya sita ni utawala wa giza. Kama umechukia kamwambie Mafwele niko tayari kumkabili.
 
I got you na mimi sio shabiki kijani ila sio kwamba huyu mama anaweza ona kote wewe taka mamlaka husika ziwajibike then fanya kama mama unampa ushauri ila sio kumtupia ghorofa unaweza kuta halikuwa hajui hata kama kkoo kuna maghorofa
 
Ghorofa lililoanguka leo limejengwa lini na linamilikiwa na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…