Ujenzi wa nyumba nzuri yenye vyumba vinne

Ujenzi wa nyumba nzuri yenye vyumba vinne

Wazoo zuri hongera Sana unawazo kama langu mkuu ukitaka ramani nzuri za bure download program inautwa pintest Baba wanalamaniiii nzuriii utakimbia nzuriii for free download iyo app ipo kwa simu yako
Dah! Nimegoogle nakuta inaitwa pinterest
Nachek playstore nayo ni Pinterest.
Kama uwezekano upo naomba link iwe rahis zaid kwa GTHINKERS kunifaika nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't bother
Nenda play store utafute app
Kisha mpe fundi wako atajua namna ya kuiweka

Pia mafundi huwa wana Ramani
 
Hii ramani security ya nyumba ndogo sana,mwizi akizama sebulen anakomba kila kitu na hamumskii coz vyumba havina simple acess na sebule...halaf baraza na jiko vimekaa upande mmoja...wataalam wanaweza kinikosoa pia...
Ok, ngoja utapewa ramani ya sehemu zenye wizi, naona hii haitokufaa.
 
Mkuu ukianza kwa kuisimamia mwenyewe itafika mbali ila kuwa makini na mafundi baadhi sio waaminifu na pia omba ushauri kwa waliojenga mwingine hajui hata bei ya tofali atakuambia ujenzi mgumu sana
 
Back
Top Bottom