Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

Haiwezi kutokea hizi ndio hasaa nyumba za miaka na mikaka ila sasa zimerudi kwa mbwe mbwe mpya,ni nyumba zenye muonekano mzuri na zina ruhusu marembo kuliko traditional high pitched houses
Umenena mkuu
 
Tatizo mafundi wetu wezi sana, ukimuuliza bei ya hizi paa za kuficha gharama unakuta ni mara 2 ya paa za kawaida. Ila ukiangalia hizi paa za kuficha zinatumia bati na mbao kidogo sana kwan muundo wake ni slope. Pili hasara ni nyingi kwa hii design kwa sababu ina space ndogo kati ya bati na ceiling ya ndani hii inaweka ugumu wa service za umeme na vitu vingine vitavyohitaji upande darini.
 
kama vitu gani? kwan wiring lazim ipite juu ? si hata chin
 
Hii bitumen na membrane cloth inapatikana wapi mkuu??
 
Mbona swali lako hili pia ni la kijinga! Kwani elimu ndo inajenga nyumba au ujuzi wa mtu! Hujifunzi kwa mainjia wale wa majengo wanavoharibu kazi na mavyeti yao!
Ninachokijua mimi ni kwamba ujenzi wa nyumba ni professional kama zilivyo professional nyingine kama vile udaktari,urubani na kadhalika.

Sasa unavyodai kuwa kinachojenga nyumba siyo elimu bali ni ujuzi wa mtu,je ninaweza kumfanyia mtu operesheni ya moyo au operesheni ya ubongo bila elimu?Huo ujuzi wa kufanyia watu operesheni nitaupata wapi kama siyo kwenye elimu?
 
Umefafanua vizuri sana mkuu asante kwa angalizo
 
Hicho ni kipaji kama vipaji vingine unaweza kuwa daktari kila siku ukawa unauwa watu tu..hata madaktari wanasomea professionalism lakini uwezo wamepishana why! Mkuu usitegemee sana vyeti.
Sisi tulioko makazini tunaona tofauti ya shule na talent ya mtu, japokuwa wwngine wana vyote yaani shule na kipaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…