Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

Kuna mtu mwenye kipaji cha kufanya operation ya moyo au operation ya ubongo bila ya kupata kwanza elimu?
 
Wala hujasema rang gani hio? mbona magorofa hayana overhang roof na rang inakalaa miaka na miaka.
kemikal hio ipi? na hayo makuta kuta wala sio lazima tunaziona picha kibao za nyumb zimependeza.ukiokoa bando za bati nne ndio zitakua sawa na kaukuta kamoja au tuwili twa show twa tofal za inch 4??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna material yanakuwa kama lami hizi ile belt inayozungushwa kwenye msingi kabla ya kupandisha tofali, unapaswa kupiga hiyo na kubadili kila mwaka kwa mujibu wa wataalamu, wanasema gharama yake ni kama 30,000 kwa square nini sijui.
bloo haupo serias unasemea dump membrane la kyzuia unyevu mbona kila nyumba zinazojielewasing unawekwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda kigambn utaziona zimejaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona swali lako hili pia ni la kijinga! Kwani elimu ndo inajenga nyumba au ujuzi wa mtu! Hujifunzi kwa mainjia wale wa majengo wanavoharibu kazi na mavyeti yao!
Mtu ambaye hajasoma na mwenye chuki na mainjinia utamjua tu.
 
Hujajibu swali langu.Nimekuuliza una elimu ya kiwango gani katika masuala ya ujenzi wa nyumba.
Acha ujinga nyie ndo wasomi makaratasi mnadhan shule ni darasani tu. Elimu yako haijakuondolea ujinga hebu acha wanaotaka kujifunza wajifunze kupitia mtoa mada
 
Mbona swali lako hili pia ni la kijinga! Kwani elimu ndo inajenga nyumba au ujuzi wa mtu! Hujifunzi kwa mainjia wale wa majengo wanavoharibu kazi na mavyeti yao!
Kiufupi huyo jamaa anaeuliza elimu ya mtoa mada ni mjinga,au ndo yupo chuo mwaka wa kwanza
 
Acha ujinga nyie ndo wasomi makaratasi mnadhan shule ni darasani tu. Elimu yako haijakuondolea ujinga hebu acha wanaotaka kujifunza wajifunze kupitia mtoa mada
Kwa hiyo kama shule siyo darasani tu ninaweza kufanya operation ya moyo au operation ya ubongo bila kupitia darasani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…