kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni.
Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Kigoma wachukulie Tabora mizigo yao itakayoletwa na SGR hapo.
Tukipata faida hapo tutaendelea na ujenzi hadi Mwanza, Burundi Rwanda na DRC kama tulivyokuwa tumepanga.
Hii itasaidia kuepuka uharibifu wa barabara kutoka dar hadi Tabora lakini na kupunguza umbali na gharama kwa watu wa DRC, Rwanda, Burundi kufuata bidhaa zao Dsm. Kwa kufanya hivyo reli ya kati na Barabara zitaendelea kutumika kusogeza mizigo Mwanza na kigoma kutoka bandari kavu ya Tabora. Hata wakati wa ukoloni Tabora ilitumika sana kama mji muhimu kwa usafirishaji na biashara. Hata uwanja wa ndege Tabora ungepaswa kuwa imara kama wa chato.