Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

Unajua China walichofanya ndani ya miaka 70 ya uhuru wao?

Watanzania wenye uhuru wa miaka 60 washindwe kusimamia reli ya SGR?
 
Unajua maana ya "kazi kuu na ya msingi"
Mfano umeajili mtu akulimie shamba hapo kazi kuu na yamsingi ni nini kulipa mshahara au kulima shamba?
Pia hapo kwenye asilimia ,kwa nchi masikini za ulimwengu wa 3 ni ujinga kutumia zaidi ya asilimia 30 ya mapato kulipa mishahara hii ndiyo maana nchi masikini zinabaki kuwa masikini daima,
 
Mwendazake alikurupuka kuanzisha project kwa sifa, sasa taifa lipo dilemma.

Mi naona afadhali tukope kope ili reli ifike walau Congo tupate chochote kitu.

Hili ndilo tatizo la taifa lisilo na mipango ya kitaifa mifupi na mirefu...kila Rais akiingia madarakani anaanza mambo yake..utafikaje unapokwenda.

Kuwa na katiba inayompa mamlaka makubwa mtu mmoja tu ni hatari sana kwa taifa...
 
Unajua China walichofanya ndani ya miaka 70 ya uhuru wao?

Watanzania wenye uhuru wa miaka 60 washindwe kusimamia reli ya SGR?
Kiongozi shujaa ni yule anaewaambia watu kuwa reli ni muhimu sana katika Maendeleo yetu, Serikali yenu Haina hela ya kujenga reli hivyo wote tubebe sululu na majembe twendeni kujenga reli sisi wenyewe kwa nguvu zetu. Hivyo kwa kutumia vijana wote, JkT, majeshi yetu, wafungwa na wahalifu wote tunageshiriki katika ujenzi. Hata China walijenga the Great wall wao wenyewe kwa kujitolea, wanajeshi na wafungwa.

Lakini sisi ni tofauti kabisa, kiongozi anatuambia pesa ipo nyie kaeni tu msubiri reli. Katika taifa changa kama hili ni uongo kuambia watu hivyo, kumbe una kwenda kukopa.
 
Wewe huna akili hata ya kubishania, asilimia ngapi itumikte inategemea denominator (GDP), Je MAPATO YENU NI SHILINGI Ngapi? Mfano kama nchi yenye watumishi laki 3 na pato Lao ghafi ni twilion 500 kwa mwaka, percentage ya mishahara inaweza kuwa hata 5% tu
 
Sasa hapo umeongea nini ? Kama ni chini ya asilimia 30 ni sawa kwa nchi masikini lakini juu ya hapo ni kosa na ndiyo inasababisha nchi kuwa masikini daima, hiyo hesabu yako tupigie kwa nchi yetu utuambie ni asilimia ngapi itumike kulipa mishahara na serikali inatumia asilimia ngapi nataka nikukamate
 
Kwa hiyo akulimie shamba bure? Wewe ndiye unajuwa "core business ya Tanzania? Peleka upumbavu wako sebuleni kwako!!
 
Mwemzio ameomba radhi, bila shaka nawe uko mbioni inshallahah.
 
Habari ya tazara na kushindwa kwake ni suala ya uafrika angalia kiongozi anamtoa kalemani anamuweka makamba unategemea nini hapo zaidi ya mradi kugeuzwa dili za watu binafsi safari tunayo ndefu na tutachoka hasa.
Tunajadili SGR wewe unaleta mambo ya kumpigia debe msukuma mwenzio pumbafu kabisa wewe si mpeni uwaziri ktk serikali zenu za kimila huko
 


Ule mpango wa akili kubwa ya Hayati JPM wa kujenga meli ya kuvusha semitrela kwenda congo DRC ziwa Tanganyika bado uko ama umefishwa?

Mh Mbatia kanishangaza sana anataka kuuamisha umma wa Watanzania eti SGR inajengwa lakini waandaa mradi hawakufanya study kujua impact yake kwenye uchumi wa Tanzania. Anaongea kwa hisia kuzuga ionekani ana point.
 
Sasa wewe ukiwa na ng'ombe wako wanne, wawili wanatoa maziwa mengi sana na wawili kidogo sana, nguvu na akili yako utaweka kwa wanaotoa maziwa mengi tayari au wale ambao hawatoi?

TAZARA ni reli ya kisasa na Zambia tuna mzigo mwingi tayari, nguvu zimeelekezwa kwenye yale maeneo yaliyolala yenye mizigo mingi zaidi ya Zambia, hatuwezi kuwekeza matrilioni ya shillings sababu ya nchi 1 au 2 ambazo zina options nyingi tukaacha nchi zaidi ya 5 ambazo ni Rwanda, Burundi, DRC, Uganda, Kenya and South Sudan na population kubwa ya Lake Zone na migodi yote iliopo upande huo

Akili ndio hauna mkuu.
 
Unajua ni viwanda vingapi vinahitajika mpaka uje upate chuma cha reli au unafikiri chuma cha reli ni kama diapers?
 
Hahaha wanaoendesha nchi ni wakulima, wachimba madini, viwanda, wafugaji, wavuvi hao ndio wanaofanya tunapata chochote cha kuuza nje ya nchi na hatimae tunapata mishahara ya kuwalipa hao unaosema ndio wanaendesha nchi, kiuchumi hao uliowataja ni liabilities kwa serikali (most of them) anyway elimu ndogo 🚮🚮🚮
 
Mwemzio ameomba radhi, bila shaka nawe uko mbioni inshallahah.
Nimekuambia nipigie hesabu ya hiyo kanuni yako ya mishahara kwa nchi yetu ili nijue inatakiwa kulipa asilimia ngapi kisha tulinganushe na asilimia tunayo endanayo sasa
 
Nimekuambia nipigie hesabu ya hiyo kanuni yako ya mishahara kwa nchi yetu ili nijue inatakiwa kulipa asilimia ngapi kisha tulinganushe na asilimia tunayo endanayo sasa
Tumekwambia kipaumbele kikubwa cha nchi na taasisi zote duniani ni kulipa mishahara ya watumishi, rasilimaliwatu. Taifa lazima liwe salama na lilindwe dhidi ya maadui na wananchi lazima wawe na afya na salama ndiyo mahitaji mengine yazuke. Watu wa kuhakikisha kuwa kuwa taifa na watu wake wako salama na wana afya ya kufanyakazi, kwenda shule, kuzaana, nk lazima walipwe kwanza hata kama hela hakuna, hata kama kwa hela ya kukopa. Huduma kwanza mengine ndo yafuate, hata jf tusingeweza kuandika na kusoma hapa kama nchi isingekuwa na usalama na mabomu yanalia kila kona, wanajeshi na silaha lazima kwanza.

Hata hili nalo hujui? ni asilimia ngapi walipwe itategemea na kiwango cha mishahara, idadi yao na uzalishaji na ukusanyaji kodi. Hapa kwetu wakwepa kodi ni wengi na wezi wa zilizokusanywa ni wengi pia. Mfano, CAG Assad alibaini kuwa kiasi cha TZS 1.5 trillion kimepotea awamu ya 5 tu, kusema hivyo akakiona cha moto.
 
Mbona unalukaluka kama umetoka kubakwa na riziwani ,toa jibu ulilo ulizwa
 
Mbona unalukaluka kama umetoka kubakwa na riziwani ,toa jibu ulilo ulizwa
Nchi na taasisi nyingi hapa kwetu huwa zinatumia 60 - 70% ya mapato yake kwa mishahara ya watumishi na huduma, lete swali lingine
 
Nchi na taasisi nyingi hapa kwetu huwa zinatumia 60 - 70% ya mapato yake kwa mishahara ya watumishi, lete swali lingine
Nimetaka ukokotoe kwa ile kanuni uliyo sema sitaki porojo
 
Respect mkuu naona umeichambua copper belt sawa sawa, ukweli huu ukanda ni wenye kipato cha uhakika ukilinganisha na njia ya kati... lakini tukifanya hivi malori yetu yataendelea kupata mizigo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…