kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #141
Ni kichaa pekee anaeweza kusema Tanzania pekee duniani hakuna Corona. Baada ya tukio na msimamo ule wa covid ndiyo tukajua kuwa kila kitu (sgr, bwawa, Kuhamia dodoma, kununua ndege, watumishi hewa, UCHUMI, matumizi) kumbe kinahitaji kuangaliwa upya, huenda hakiko sawa. Dunia nzima ilituhurumia, ndio maana mama Samia walimuelewa haraka baada ya kushika usukani. Masalia kama nyinyi bado mmebaki mna endelea kubweka kuwa hakuna Corona, sisi ni donor country huku tu naomba museven ajenge shule chato, Morocco wajenge msikiti na viwanja vya mpira, tunajenga kwa hela yetu huku mkijua kuwa mNadanganya.Propaganda zipo za aina mbili za kizarendo na za kihuni ,pia kuhusu wapi reli ielekee hapo umeonyesha uwezo wako wa akili ulivyo mdogo reli inatakiwa iendelee kujengwa kuelekea kote kote rwanda burundi uganda drc zambia malawi na ndani ya tanzania tunatakiwa tujenge matawi kuelekea mikoa yote hivyo popote itakapo anzia siyo mwisho ,hapo ilitakiwa mama sa100 aonyeshe uwezo wake kwa kuipeleka maeneo mengi zaidi ya mipango ya jpm ila tatizo mama ni kilaza