Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni.
Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Kigoma wachukulie Tabora mizigo yao itakayoletwa na SGR hapo.
Tukipata faida hapo tutaendelea na ujenzi hadi Mwanza, Burundi Rwanda na DRC kama tulivyokuwa tumepanga.
Hii itasaidia kuepuka uharibifu wa barabara kutoka dar hadi Tabora lakini na kupunguza umbali na gharama kwa watu wa DRC, Rwanda, Burundi kufuata bidhaa zao Dsm.
Bangi ni zao zuri lakini linasumbua ukiamua kupitiliza....kipande cha Isaka Mwanza kishaanza. Ukiamua kuishia Tabora haina maana utashindwa...inawezekana ila ni kwa matumizi ya bangi au cocaine peke yake ndio utatoa maamuzi kama hayo