Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kipande gani kimekamilika?Mradi una awamu 5 na sasa awamu zilizoanza kutekelezwa ni 3. Nazo ni Dar kwenda Morogoro, Morogoro kwenda Makutopola Singida (maarufu kama Morogoro kwenda Dodoma japo imevuka Dodoma). Isaka mkoani Shinyanga kwenda Mwanza.
Awamu ambazo hazijaanza ni Isaka mkoani Shinyanga kupitia Kahama mjini kwenda Uvinza Kigoma hadi mpakani mwa Burundi na Rwanda. Makutupola mkoani Singida hadi Isaka mkoani Shinyanga.
Kwanini wameanza na awamu ya Isaka hadi Mwanza hilo wanalijua wao kimkakati zaidi yaweza kuwa ni pesa inatosha kipande hicho au pengine ni sababu za kiuchumi. Cha msingi awamu zote zikamilike
Nikusaidie na ndio maana huwa mnakurupuka.Lazima kitatoboa Shato maana Isaka- Mwanza haizidi 200km, sasahiyo 341 inatoka wapi kama siyo mpaka Shato?
Utasubiri Sana tu mkuu, acha kulishwa matango poli wewe!Hii itabidi isubiri kwanza tuone hatima ya mgonjwa wa kichaa
Nadhani umekosea ni Rusumo mpaka wa Rwanda na Tanzania maana kama ni kwenda Uvinza lazima ipite Tabora hadi Kigoma.Awamu ambazo hazijaanza ni Isaka mkoani Shinyanga kupitia Kahama mjini kwenda Uvinza Kigoma hadi mpakani mwa Burundi na Rwanda. Makutupola mkoani Singida hadi Isaka mkoani Shinyanga.
Ishu sio itapita wapi, mradi unasuasua sanaNadhani umekosea ni Rusumo mpaka wa Rwanda na Tanzania maana kama ni kwenda Uvinza lazima ipite Tabora hadi kigoma
Duhhhh!Hii itabidi isubiri kwanza tuone hatima ya mgonjwa wa kichaa
Ipo hivyo ili hata muda wake ukiisha, iwe tayari ukanda huo, na kwingineko ni lazima wajao wakamilishe.Lazima kitatoboa Shato maana Isaka- Mwanza haizidi 200km, sasahiyo 341 inatoka wapi kama siyo mpaka Shato?
Kwa akili yako ya kawaida ataikamilisha?Magu akikamilisha hii miradi yake ya kimkakati atakuja apate sifa hapo baadae ingawa kwa sasa bado watu tunaona Kama hii miradi inatutesa
Njia ya DAR to MWANZA ina Lot 5.Ya kwanza Dar t- Morogoro, 2 Morogoro - Makutopora,3 Makutupora - Tabora,4 Tabora - Isaka,5 Isaka- Mwanza. Lot nyingine ndio hiyo Isaka- Kigali na Tabora- kigoma. Wanachotaka kuanza sasa ni lot 5.Mradi una awamu 5 na sasa awamu zilizoanza kutekelezwa ni 3. Nazo ni Dar kwenda Morogoro, Morogoro kwenda Makutopola Singida (maarufu kama Morogoro kwenda Dodoma japo imevuka Dodoma). Isaka mkoani Shinyanga kwenda Mwanza.
Awamu ambazo hazijaanza ni Isaka mkoani Shinyanga kupitia Kahama mjini kwenda Uvinza Kigoma hadi mpakani mwa Burundi na Rwanda. Makutupola mkoani Singida hadi Isaka mkoani Shinyanga.
Kwanini wameanza na awamu ya Isaka hadi Mwanza hilo wanalijua wao kimkakati zaidi yaweza kuwa ni pesa inatosha kipande hicho au pengine ni sababu za kiuchumi. Cha msingi awamu zote zikamilike.
Hayo yako na Mpuuzi Tundu Lissu wenu. Wewe unaujua ujenzi wewe? Wakati mwingine muwe positive.Ishu sio itapita wapi, mradi unasuasua sana
Naskia inaenda mpka Chato kubeba fisi wala watuKauli hii imetolewa na mkurugenzi wa TRC ndugu Masanja Kadogosa akiwa Malampaka mkoani Simiyu.
Kwa mujibu wa ndugu Kadogosa ni kuwa kutakuwa na kambi kubwa hapo Malampaka ambayo itachukua takribani watu 3000 . Kipande hiki kina takribani KM 341 na kitagharimu tril tatu nukta sita za kitanzania. Masanja Kadogosa amedai kuwa tayari wamefanya kikao na wadau ili kuweka utayari wa kuanza mradi huo.
Je,kwa nini kandarasi ya kutoka Makutupora mpaka Isaka haikuanza kutangazwa ? Maana mradi umeanzia Dar ukielekea Mwanza.