Ujenzi wa SGR Mwanza-Isaka kuanza wakati wowote

Ujenzi wa SGR Mwanza-Isaka kuanza wakati wowote

Kwa akili yako ya kawaida ataikamilisha?
Hivi wewe unafikiri kujenga reli ni kama kujenga barabara ya vumbi? Kama Chadema kina miaka zaidi ya ishirini tangu kianzishwe lakini kimeshindwa kujenga hata ofisi sembuse reli.
 
Hivi wewe unafikiri kujenga reli ni kama kujenga barabara ya vumbi? Kama Chadema kina miaka zaidi ya ishirini tangu kianzishwe lakini kimeshindwa kujenga hata ofisi sembuse reli.
Hoja hapa ni ujenzi wa Sgr,Chadema walisha kupora mke?
 
Mwaka 2019 walisoma hivyohivyo ingefika mwezi Novemba, labda April 2022 maana Awamu hii ni ya maneno mengi vitendo hakuna.
Kwani shida nini, mwanzo mlisema haitawezekana kabisa kujengwa kwa sababu serikali haina pesa leo mnaona ujenzi unaendelea mnaanza tena maneno.
 
Naamini atakamilisha na kama itabaki ni kwa kiasi kidogo
SGR haitakamilika hadi 2025. Na ccm itaitumia kama kigezo cha kumuongezea muda ili aweze kuikamilisha hii miradi mikubwa. Bashiru alikuwa anapata mitaani alisema hataongeza muda sasa kapewa cheo kagungwa mdomo.
 
Back
Top Bottom