Ujenzi wa SGR Mwanza-Isaka kuanza wakati wowote

Kauli hii imetolewa na mkurugenzi wa TRC ndugu Masanja Kadogosa akiwa Malampaka mkoani Simiyu.

Kwa mujibu wa ndugu Kadogosa ni kuwa kutakuwa na kambi kubwa hapo Malampaka ambayo itachukua takribani watu 3000 . Kipande hiki kina takribani KM 341 na kitagharimu tril tatu nukta sita za kitanzania. Masanja Kadogosa amedai kuwa tayari wamefanya kikao na wadau ili kuweka utayari wa kuanza mradi huo.

Je,kwa nini kandarasi ya kutoka Makutupora mpaka Isaka haikuanza kutangazwa ? Maana mradi umeanzia Dar ukielekea Mwanza.
Kutoka Makutupora Itigi Tabora wanaanza lini? Toka Toabroa Isaka wanaanza lini? Tabora Kigoma je?
 
Kauli hii imetolewa na mkurugenzi wa TRC ndugu Masanja Kadogosa akiwa Malampaka mkoani Simiyu.

Kwa mujibu wa ndugu Kadogosa ni kuwa kutakuwa na kambi kubwa hapo Malampaka ambayo itachukua takribani watu 3000 . Kipande hiki kina takribani KM 341 na kitagharimu tril tatu nukta sita za kitanzania. Masanja Kadogosa amedai kuwa tayari wamefanya kikao na wadau ili kuweka utayari wa kuanza mradi huo.

Je,kwa nini kandarasi ya kutoka Makutupora mpaka Isaka haikuanza kutangazwa ? Maana mradi umeanzia Dar ukielekea Mwanza.
Trilioni 3.6 zinajenga kilometa 341!
 
Nikusaidie na ndio maana huwa mnakurupuka,
Kuanzia dar hadi morogoro ni kati ya klm 220 lakini zimejengwa klm 330 au zaidi vivyo hivyo kwa dodoma, na mwanza hivyo hivyo,
Katika hiyo reli kuna sehemu zinajengwa njia mbili kwa ajili ya kupishana, kwa hiyo hiyo njia ya pili pia inawekwa kwenye ulefu wa hizo meter.
Nadhani umeelewa.
Mkuu, makamanda huwa hawaelewi mpaka utafute rungu uwe unawakong'ota nalo kichwani. CHADEMA ya wenye uelewa waliondoka nayo Dr. Slaa na Dr. Kitila, haya mengine yamebaki magalasa tu!
Btw, akikuelewa unitag
 
Kauli hii imetolewa na mkurugenzi wa TRC ndugu Masanja Kadogosa akiwa Malampaka mkoani Simiyu.

Kwa mujibu wa ndugu Kadogosa ni kuwa kutakuwa na kambi kubwa hapo Malampaka ambayo itachukua takribani watu 3000 . Kipande hiki kina takribani KM 341 na kitagharimu tril tatu nukta sita za kitanzania. Masanja Kadogosa amedai kuwa tayari wamefanya kikao na wadau ili kuweka utayari wa kuanza mradi huo.

Je,kwa nini kandarasi ya kutoka Makutupora mpaka Isaka haikuanza kutangazwa ? Maana mradi umeanzia Dar ukielekea Mwanza.
Umeona daraja la Slander linavyojengwa? Hujui kuwa miradi minngine ya ujenzi huanzia mwisho na kumalizikia katikati?
 
Ukiwa Mwanza,Reli hadi ifike Chato unaipitishia wapi?? Wakati kuna Ziwa na hapo kwenye Ziwa wanaweka daraja! Watanzania mbona tunakua hivi lakini?? Ungesema reli ianzie Isaka kwenda Kahama hadi Bukombe then Chato,ningekuelewa lakini sio from Mwanza to Chato

Umeona eeeh. Yaani kuna watu hata geografia ya nchi yao bado inawapa shida sana
 
Back
Top Bottom