Ujenzi wa SGR Mwanza-Isaka kuanza wakati wowote

Kama una namba ya kadogosa Eng. Embu fanya tumuulize
 
Kutoka Makutupora Itigi Tabora wanaanza lini? Toka Toabroa Isaka wanaanza lini? Tabora Kigoma je?
 
Trilioni 3.6 zinajenga kilometa 341!
 
Mkuu, makamanda huwa hawaelewi mpaka utafute rungu uwe unawakong'ota nalo kichwani. CHADEMA ya wenye uelewa waliondoka nayo Dr. Slaa na Dr. Kitila, haya mengine yamebaki magalasa tu!
Btw, akikuelewa unitag
 
Umeona daraja la Slander linavyojengwa? Hujui kuwa miradi minngine ya ujenzi huanzia mwisho na kumalizikia katikati?
 

Umeona eeeh. Yaani kuna watu hata geografia ya nchi yao bado inawapa shida sana
 
Ije hadi huku Mbeya tuuzepo maparachichi na ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…