Ujenzi wa SGR Mwanza-Isaka kuanza wakati wowote

Kwà hali ilivyo, miradi wa SGR , Dar - Mwanza, hautakuwa umekamilika mwaka 2025. Na Rais ajaye SGR itakuwa sio kipaumbele chake.
 
Meko anajuwa kuwa SGR haiwezi kukamilika ndani ya kipindi cha utawala wake. Na akija Rais mwingine atabadili isipite ruti hiyo ambayo iko karibu na Chato.

Meko afe tu, hamna namna
 
Lazima kitatoboa Shato maana Isaka- Mwanza haizidi 200km, sasahiyo 341 inatoka wapi kama siyo mpaka Shato?
Aaa vipi tena mkuu hesabu gani hizo? kwani kiuhalisia kutoka Dar- Moro kuna km 400? hapana. Hiyo sio barabara hiyo ni reli inajumuisha njia za kupishana, maegesho na cargo points.
 
Dah nimecheka sana.
 
Aaa vipi tena mkuu hesabu gani hizo? kwani kiuhalisia kutoka Dar- Moro kuna km 400? hapana. Hiyo sio barabara hiyo ni reli inajumuisha njia za kupishana, maegesho na cargo points.
Mkuu haiwezi kuwa kilometer nyingi hivyo hata kama kuna maegesho
 
Mkuu si inapitia Isaka to Chato!
 
Hiyo WAKATI WOWOTE ndio inanipa ukakasi....
 
Meko anajuwa kuwa SGR haiwezi kukamilika ndani ya kipindi cha utawala wake. Na akija Rais mwingine atabadili isipite ruti hiyo ambayo iko karibu na Chato.

Meko afe tu, hamna namna
Afe mama yako kwanza!
 
Mzee somo la jiografia wengine limewapiga chenga haa haaa
 
Mwaka 2019 walisoma hivyohivyo ingefika mwezi Novemba, labda April 2022 maana Awamu hii ni ya maneno mengi vitendo hakuna.
Serikali Ninayoiongoza Hakuna Mchakato, Upembuzi Yakinifu,
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Lazima kitatoboa Shato maana Isaka-Mwanza haizidi 200km, sasahiyo 341 inatoka wapi kama siyo mpaka Shato?
Reli hii itakuwa vyema itaendelezwa baadae mpaka Musoma na Sirari kufanikisha biashara na nchi jirani ya Kenya hususan katika mizigo kuimarisha biaahara Kanda ya Ziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…