Uwanja wa chama? CCM? Iliujenga lini vile?Sheikh Amri Abeid pamefinywa sana pale, hata parking ya magari hakuna...
Plus ule ni uwanja wa chama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja wa chama? CCM? Iliujenga lini vile?Sheikh Amri Abeid pamefinywa sana pale, hata parking ya magari hakuna...
Plus ule ni uwanja wa chama...
Elfu 40? Hao watu unawatoa wapi Arusha?. Viwanja vyetu maximum 25 elfu na hapo vitajaa ikihusika SimbaKwa hiyo kwa uelewa wako Dodoma ina more spending capacity na facilities za ku-host event kuliko Arusha?
Kiukweli kuna baadhi ya mikoa mnabebwa! Ila kama ni suala la business sense hamna mtu binafsi anaweza kujenga uwanja Dodoma akaacha Arusha kwa sasa! Naamini hata huo utakaojengwa Dodoma sijui kama utajaa kipindi cha AfCON 2027!
BTW Sheikh Abeid Karume hamna nafasi ya kutosha pale! Kwanza hata hiyo Idadi ya 30,000 naona ni ndogo wangefanya 40,000 kwa Jiji la Arusha!
Mkoloni kaondoka ila yupo in direct.nani kakudanganya mkoloni kaondoka
wewe bado unamengi ya kujifunza wallah
Sababu ya kuweka 30,000 wabongo wengi hawaendi viwanjani hadi simba na yanga unajenga uwanja mkubwa afu wanaingia watu buku ni hasara.Kwa hiyo kwa uelewa wako Dodoma ina more spending capacity na facilities za ku-host event kuliko Arusha?
Kiukweli kuna baadhi ya mikoa mnabebwa! Ila kama ni suala la business sense hamna mtu binafsi anaweza kujenga uwanja Dodoma akaacha Arusha kwa sasa! Naamini hata huo utakaojengwa Dodoma sijui kama utajaa kipindi cha AfCON 2027!
BTW Sheikh Abeid Karume hamna nafasi ya kutosha pale! Kwanza hata hiyo Idadi ya 30,000 naona ni ndogo wangefanya 40,000 kwa Jiji la Arusha!
Dodoma Kwa facilities IPO nyuma kulinganisha na arusha, ila ndio mkoa wenye growth kubwa ya uchumi, na population yake inakuwa Kwa kasi sababu ya hadhi ya Maji Mkuu. Baada ya Muda flani around 10 years itakuwa nyuma Kwa DSM tuKwa hiyo kwa uelewa wako Dodoma ina more spending capacity na facilities za ku-host event kuliko Arusha?
Kiukweli kuna baadhi ya mikoa mnabebwa! Ila kama ni suala la business sense hamna mtu binafsi anaweza kujenga uwanja Dodoma akaacha Arusha kwa sasa! Naamini hata huo utakaojengwa Dodoma sijui kama utajaa kipindi cha AfCON 2027!
BTW Sheikh Abeid Karume hamna nafasi ya kutosha pale! Kwanza hata hiyo Idadi ya 30,000 naona ni ndogo wangefanya 40,000 kwa Jiji la Arusha!
ChoyoHivi kuuboresha ule uwanja wa Sheikh Amri Abeid, halafu ukajengwa uwanja mwingine mpya Dodoma! Si ingependeza sana.
Muwe mnaheshimu maoni ya mtu wakati fulani. Na kama una njaa, niwekee namba yako hapa ili nikutumie chochote kitu. Na siyo unalalamika tu.Choyo
😂 Naona fahamu zimekurudia sasaMkoloni kaondoka ila yupo in direct.
Fahamu zipo sema wewe mboga mboga hatuwezi kuelewana.😂 Naona fahamu zimekurudia sasa
Poleni Kwa kupata asilimia sifuri nduguFahamu zipo sema wewe mboga mboga hatuwezi kuelewana.
Sawa. Mm sio chadema, cuf wala chama chochote bali kiuhalisia mboga mboga hamjashinda mmejishindisha tu. Kwanza kura na mm wapi na wapi. Mimi kura sipigi aseeePoleni Kwa kupata asilimia sifuri ndugu
Vijana hapo ndio mnapochemshaSawa. Mm sio chadema, cuf wala chama chochote bali kiuhalisia mboga mboga hamjashinda mmejishindisha tu. Kwanza kura na mm wapi na wapi. Mimi kura sipigi aseee
Acha nichemshe ila siwezi kupiga kura mm mpaka siku nikiona kura nitakayo piga ina heshimika katika maamuzi.Vijana hapo ndio mnapochemsha
Uzi hauna like hata 1 kudadadeqHivi kuuboresha ule uwanja wa Sheikh Amri Abeid, halafu ukajengwa uwanja mwingine mpya Dodoma! Si ingependeza sana.
Wangeboresha uwanja wa ali hassan mwinyi ni mkubwa unachukua watu wengi sema sasa tabora kule uswahili mwingi sanaKwa hiyo kwa uelewa wako Dodoma ina more spending capacity na facilities za ku-host event kuliko Arusha?
Kiukweli kuna baadhi ya mikoa mnabebwa! Ila kama ni suala la business sense hamna mtu binafsi anaweza kujenga uwanja Dodoma akaacha Arusha kwa sasa! Naamini hata huo utakaojengwa Dodoma sijui kama utajaa kipindi cha AfCON 2027!
BTW Sheikh Abeid Karume hamna nafasi ya kutosha pale! Kwanza hata hiyo Idadi ya 30,000 naona ni ndogo wangefanya 40,000 kwa Jiji la Arusha!
Halafu nani aende Tabora?Wangeboresha uwanja wa ali hassan mwinyi ni mkubwa unachukua watu wengi sema sasa tabora kule uswahili mwingi sana
Sasa umeweka like ya nini?Wangeboresha uwanja wa ali hassan mwinyi ni mkubwa unachukua watu wengi sema sasa tabora kule uswahili mwingi sana
Mahali ulipo na ukubwa wake haiwezi kuongeza hata kitu kimoja upande wa Kusini wa uwanja hauna viti kabisa maana mita mbili mbele ni Makongoro Road.Hivi kuuboresha ule uwanja wa Sheikh Amri Abeid, halafu ukajengwa uwanja mwingine mpya Dodoma! Si ingependeza sana.
Unaitwa uwanja wa Samia Stadium Arudha.UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11%
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi.
View attachment 3165783
Msigwa amesema hayo wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa uwanja huo unaojengwa katika kata ya Olmoti jijini Arusha kwa saa 24 usiku na mchana.
Aidha, Msigwa mesema pamoja na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo, hata hivyo amemtahadharisha mkandarasi huyo kuwa siku atakapochelewesha kazi ya ujenzi wa uwanja huo ndipo ugomvi wake na mkandarasi huyo utakapo kuja hata kabla Waziri wa Wizara yake Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro hajaja.
Msigwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za ujenzi wa Uwanja huo wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambapo fedha za ujenzi wa Uwanja huo zimekuwa zikija kwa wakati kutoka Wizara ya Fedha.
View attachment 3165775View attachment 3165776View attachment 3165777View attachment 3165778View attachment 3165779View attachment 3165780View attachment 3165781View attachment 3165784View attachment 3165785