Ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha utakaotumika kwenye Fainali za AFCON 2027 wafikia 11%

Elfu 40? Hao watu unawatoa wapi Arusha?. Viwanja vyetu maximum 25 elfu na hapo vitajaa ikihusika Simba
 
Sababu ya kuweka 30,000 wabongo wengi hawaendi viwanjani hadi simba na yanga unajenga uwanja mkubwa afu wanaingia watu buku ni hasara.
 
Dodoma Kwa facilities IPO nyuma kulinganisha na arusha, ila ndio mkoa wenye growth kubwa ya uchumi, na population yake inakuwa Kwa kasi sababu ya hadhi ya Maji Mkuu. Baada ya Muda flani around 10 years itakuwa nyuma Kwa DSM tu
 
Poleni Kwa kupata asilimia sifuri ndugu
Sawa. Mm sio chadema, cuf wala chama chochote bali kiuhalisia mboga mboga hamjashinda mmejishindisha tu. Kwanza kura na mm wapi na wapi. Mimi kura sipigi aseee
 
Sawa. Mm sio chadema, cuf wala chama chochote bali kiuhalisia mboga mboga hamjashinda mmejishindisha tu. Kwanza kura na mm wapi na wapi. Mimi kura sipigi aseee
Vijana hapo ndio mnapochemsha
 
Wangeboresha uwanja wa ali hassan mwinyi ni mkubwa unachukua watu wengi sema sasa tabora kule uswahili mwingi sana
 
Hivi kuuboresha ule uwanja wa Sheikh Amri Abeid, halafu ukajengwa uwanja mwingine mpya Dodoma! Si ingependeza sana.
Mahali ulipo na ukubwa wake haiwezi kuongeza hata kitu kimoja upande wa Kusini wa uwanja hauna viti kabisa maana mita mbili mbele ni Makongoro Road.
 
Unaitwa uwanja wa Samia Stadium Arudha.

Kuna majitu yatachukia kisa anafanya mama 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…