Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

Yule Mfalme wa Morocco aliwashangaa sana Watanzania na hasa Magufuli kwa tabia ya kuomba omba akaamua awakubalie ili asiwaabishe. Lakini kamwe Morocco haiwezi kutoa fedha zake kwa mafisadi halafu muanze kujisifia CCM mbele kwa mbele!
Pesa haikuombwa wakati wa magufuli

Ova
 
Napendekeza mikoa ifuatayo ijengwe viwanja vikubwa ili huko baadaye Tanzania tuweze kuwa wenyeji wa AFCON
Miji ya mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Mbeya Dodoma, na Tanga na ikwezekana na Tabora.. Sijataja Dar kwa ukuwa upo tayari.
Sifa za majiji hayo ni Mbeya idadi ya watu, kuna timu zilizmo ligi ya taifa na kuna ushabiki mkubwa wa mpira, pia kuna imepakana na nchi jirani ambapo watu wanaweza kuongeza idadi; Mwanza ni mji wenye watu wengi ingawa sina uhakika kama kuna ushabiki mkubwa; Arusha sina haja ya kuelezea sababu uko katika mkakati, na Tanga kwa ushabiki na Nimeweka Tabora kama kwajili ya baadaye kwa sababu ya eneo la Magharibi, .
 
Utaijua tu mikataba, maana ishaanza kuvuja...
 
Wanaua ndoto za JPMView attachment 2765136View attachment 2765137
 
lile limfalme lilikuwa litapeli kweli kweli. lilikuwa linatafuta tu tuwaunge mkono kura ya kujiunga na AU, alipopata alichokitaka, akatuachia lubega.
 
lile limfalme lilikuwa litapeli kweli kweli. lilikuwa linatafuta tu tuwaunge mkono kura ya kujiunga na AU, alipopata alichokitaka, akatuachia lubega.
Hiki ndicho ninachokijua mm, ilikuwa ni kampeni ya kuungwa mkono kujiunga AU baada ya kujitoa muda mrefu wakitegemea kujiunga EU, EU wakawapiga chini! Ivi tuliwapigia kura bila kuweka kibindoni pesa ya uwanja?? Ninachojua ya kujenga msikiti ilitoka faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…