ROOM 47 JF-Expert Member Joined May 23, 2022 Posts 2,301 Reaction score 7,460 Oct 15, 2023 #61 Waarabu wahuni sana alioona simba anataka kumtoa waydad cs akamaind.......hapo wa kuulaumiwa simba sc
Waarabu wahuni sana alioona simba anataka kumtoa waydad cs akamaind.......hapo wa kuulaumiwa simba sc
jeremiahj Senior Member Joined Nov 26, 2020 Posts 165 Reaction score 336 Jan 7, 2024 #62 Ahadi ya uwanja wa mpira Dodoma iliyoahidiwa na mfalme wa Morocco imeyeyukia wapi? Wadau naombeni maoni yenu.. ?
Ahadi ya uwanja wa mpira Dodoma iliyoahidiwa na mfalme wa Morocco imeyeyukia wapi? Wadau naombeni maoni yenu.. ?
Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Jan 7, 2024 #63 Ngoja wakatizame.
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,710 Reaction score 2,951 Jan 7, 2024 #64 Ni hatari sana.
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,443 Reaction score 4,007 Jan 7, 2024 #65 "Kila zama na kitabu chake"
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 4,548 Reaction score 11,901 Jan 7, 2024 #66 jeremiahj said: Ahadi ya uwanja wa mpira Dodoma iliyoahidiwa na mfalme wa Morocco imeyeyukia wapi? Wadau naombeni maoni yenu.. ? Click to expand... Itaondoa umasikini? wenzenu hao wakina Moroco wana maisha bora,unawaza vuwanja wakati shule hazina vyoo?
jeremiahj said: Ahadi ya uwanja wa mpira Dodoma iliyoahidiwa na mfalme wa Morocco imeyeyukia wapi? Wadau naombeni maoni yenu.. ? Click to expand... Itaondoa umasikini? wenzenu hao wakina Moroco wana maisha bora,unawaza vuwanja wakati shule hazina vyoo?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jan 7, 2024 #67 Walau tuliambulia msikiti. Takbiiir!!!
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Jan 7, 2024 #68 Kwa kumuangalia tu yule mfalme wa Morocco anaonekana tapeli. Watu wenye vitambi vya aina ile hua hawakatai ukiwaomba kitu ila ndo hawatekelezi
Kwa kumuangalia tu yule mfalme wa Morocco anaonekana tapeli. Watu wenye vitambi vya aina ile hua hawakatai ukiwaomba kitu ila ndo hawatekelezi
K kangesa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2023 Posts 551 Reaction score 1,063 Jan 7, 2024 #69 Kuwa na subra,kabla ya 2027 utakuwa tayari