Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

Wakala wa barabara vs ujenzi wa uwanja? TANROADS wanaüzoefu na ujenzi wa uwanja? Vipi TIB waliojenga hostel za UDSM hatuwatumii tena?
Wakala alipewa pesa kidogo ajenge magorofa ya wanafunzi, zikatokea expanssion joint, sasa mwaka wa tatu bilioni 10 zimeshindwa kujenga magorofa ya magereza, angepewa uwanja ingekuwaje kuhusu expansion joints??!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muendelezo wa Sera za bora liende wa maccm walishindwa nn kumuomba huyo mfadhili altenative project ya maana kuliko kupoteza mabilioni ya pesa kwenye huu uwanja ambao zaidi za kupendeza macho kiuchumi ni meangless
 
Wakala alipewa pesa kidogo ajenge magorofa ya wanafunzi, zikatokea expanssion joint, sasa mwaka wa tatu bilioni 10 zimeshindwa kujenga magorofa ya magereza, angepewa uwanja ingekuwaje kuhusu expansion joints??!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bwana mkubwa kwa nini ana tatizo la kutoamini taaluma na wanataaluma Hadi atake kufanya kila kitu kwa utashi wake?
 
kila zama na kitabu chake..

wakati watoto wa mjini wapo karibu na wafanyabiashara Bank zilikua zinapigia wateja magoti sasa ni kinyumenyume, watu hawana pesa na wenyenazo wanapotea huko gymkhana na kuonekana oysterbay yani vurugu tupu...ni kitabu cha wajenzi sasa sijui kipaumbele ni nini?? Ujenzi?

kipindi kile ilikuwa ni:-
1. biashara kushamiri
2. bandari containers za kumwaga,
3. nyumba za wageni zinajaa
4. apartments zinapata wapangaji
5. yani kila biashara inalipa ata kwa dada zetu

na zama hizi ni kitabu cha wakandarasi..maana ndiko tunakojua pesa inafikaje mifukoni mwetu huko kwenye biashara na intantaprenuwashipu tutadanganyana yani hakuna tunachoelewa

ndiomana leo tunanua vitambulisho 20,000
mara kesho tunanunua korosho na kuacha
mara tunafunga bureau de change
Vitambulisho vya uraia ????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nitembee nione na cha kuona chenyewe kiwepo Dodoma?! But all in all, issue hapa ni kwamba Dodoma wana changamoto nyingi zinazoathiri moja kwa moja kwa maisha ya kila siku ya jamii kuliko suala la uwanja wa michezo!!
Sasa mji gani Tanzania usiokuwa na changamoto? kwani ulivyojengwa uwanja wa Taifa Dar ilikuwa haina changamoto? maana changamoto zetu sote sawa tu kama ni maji sote kama umeme sote kama Hospital sote. Kama kuna chuki tu ya Dodoma sawa lakini mikoa yote ya Tanzania karibia nimefika na matatizo yetu yanafanana tu. Dar unachangamoto nyingi sana maji shida kubwa tu sasa swali daraja la Coco ni muhimu kuliko hizo changamoto. jambo zuri tupongeze mimi sipendi CCM lakini wakifanya zuri nasema na hili naunga mkono 100% mradi wowote wa maendeleo mkoa wowote.
 
Back
Top Bottom