Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wa mchina wa watu elfu sitini tu simba na yanga haujai[emoji33] labda ije man u
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfugale ni Civil Engineer sio Roads Engineer tu.
Umefufuka?Uchumi ukiendelee kuporomoka,kila kitu kinachofanyika leo hii kitakuwa ni kazi bure kwa uchumi wa nchi!
Huu sio wa kujaza wapenzi wa mpira. Ni wa kujaza wapiga kura kwenye matukio muhimu kama Independence day!Huo wa mchina wa watu elfu sitini tu simba na yanga haujai[emoji33] labda ije man u
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma haina historia ya mpira labda kupigana marungu tu, utakuwa white elephant
Mavi kunukaView attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
na mvua ilivyonyesha pale tazara pakageuka bwawa la kambale je??kwa nini unaguna...MFUGALE huwa hatuangushi kabisa
Hao mashabiki 85000 watatoka wapi nchi hii na watakuwa wanaangalia mpira gani? Twiga stars labda? Yanga kwishney!kwa nini unaguna...MFUGALE huwa hatuangushi kabisa
Pendekezo : Jina la Uwanja liwe MFUGALE STADIUMView attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.