boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,279
- 310
Chadema manyumbu kweli kweliHamna jema nyie, Lema akipewa msaada wa hospital ni neema, ila Tz ikipewa msaada wa uwanja kosa, unafiki wa kitanzania ni wa kuweka kwenye makumbusho kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema manyumbu kweli kweliHamna jema nyie, Lema akipewa msaada wa hospital ni neema, ila Tz ikipewa msaada wa uwanja kosa, unafiki wa kitanzania ni wa kuweka kwenye makumbusho kabisa.
Wewe jamaa utakuwa ni miongoni mwa waliokula hasara kwa kununua ardhi nara mkisubiri fidia ya kiwanja cha mpira
![]()
Mwonekano wa Uwanja mpya wa michezo wa kisasa utakaojengwa mjini Dodoma kwa msaada wa Serikali ya Morocco.
Hahahahah! Asante kwa kutufungua macho. Nilikuwa sijajua! Niliposoma coment yako nikaingia google yaani copy and paste! hahahahah! Wabongo bwana~
Hili mbona kama changa la macho, unless hiyo picha imewekwa tu kunogesha habari...
Kinachoonekana katika picha ni uwanja wa Olimpiki wa Berlin na umekuwepo Berlin miaka na miaka...
Sasa wanaoitumia hiyo picha kunadi uwanja wa msaada sijui wanafanya kusudi ama...
![]()
MmmhView attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
kwa nini unaguna...MFUGALE huwa hatuangushi kabisa
Uwanja wa mpira wa miguu wasemaji TANROADS?kwa nini unaguna...MFUGALE huwa hatuangushi kabisa
Huo wa mchina wa watu elfu sitini tu simba na yanga haujai[emoji33] labda ije man uVp huo uwanja hautokuwa unajaa maji kama ilivyokuwa pale Tazara?![emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
TUNAJENGA au TUNAJENGEWA?View attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
Mkuu maji sio watu, isijekuwa huo uwanja ukawa kisima [emoji849][emoji849]watu wenye shida ya maji wanakwenda kuchota hapo uwanjani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Huo wa mchina wa watu elfu sitini tu simba na yanga haujai[emoji33] labda ije man u
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi ukiendelee kuporomoka,kila kitu kinachofanyika leo hii kitakuwa ni kazi bure kwa uchumi wa nchi!
Huko wanakosema uchumi unapaa wanapika data.Hivi hizo takwimu za uchumi kuporoma wafuasi Wa DJ mboye huwa mnazitoa wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app