The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Among the most stupid ideas ni hilo la kujenga liuwanja hilo kwa omba omba wa huko Dodoma. Haina tofauti na kujenga international airport kule buseresere.View attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
Huo uwanja utakuwa pambo na gofu baada ya muda mfupi tu.