Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

Wakala wa barabara vs ujenzi wa uwanja? TANROADS wanaüzoefu na ujenzi wa uwanja? Vipi TIB waliojenga hostel za UDSM hatuwatumii tena?
Wakala alipewa pesa kidogo ajenge magorofa ya wanafunzi, zikatokea expanssion joint, sasa mwaka wa tatu bilioni 10 zimeshindwa kujenga magorofa ya magereza, angepewa uwanja ingekuwaje kuhusu expansion joints??!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muendelezo wa Sera za bora liende wa maccm walishindwa nn kumuomba huyo mfadhili altenative project ya maana kuliko kupoteza mabilioni ya pesa kwenye huu uwanja ambao zaidi za kupendeza macho kiuchumi ni meangless
 
Wakala alipewa pesa kidogo ajenge magorofa ya wanafunzi, zikatokea expanssion joint, sasa mwaka wa tatu bilioni 10 zimeshindwa kujenga magorofa ya magereza, angepewa uwanja ingekuwaje kuhusu expansion joints??!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bwana mkubwa kwa nini ana tatizo la kutoamini taaluma na wanataaluma Hadi atake kufanya kila kitu kwa utashi wake?
 
Vitambulisho vya uraia ????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nitembee nione na cha kuona chenyewe kiwepo Dodoma?! But all in all, issue hapa ni kwamba Dodoma wana changamoto nyingi zinazoathiri moja kwa moja kwa maisha ya kila siku ya jamii kuliko suala la uwanja wa michezo!!
Sasa mji gani Tanzania usiokuwa na changamoto? kwani ulivyojengwa uwanja wa Taifa Dar ilikuwa haina changamoto? maana changamoto zetu sote sawa tu kama ni maji sote kama umeme sote kama Hospital sote. Kama kuna chuki tu ya Dodoma sawa lakini mikoa yote ya Tanzania karibia nimefika na matatizo yetu yanafanana tu. Dar unachangamoto nyingi sana maji shida kubwa tu sasa swali daraja la Coco ni muhimu kuliko hizo changamoto. jambo zuri tupongeze mimi sipendi CCM lakini wakifanya zuri nasema na hili naunga mkono 100% mradi wowote wa maendeleo mkoa wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…