Kipimo Cha tezi dume kinge mfaa zaidiAkapimwe mkojo au akili?
Uchaguzi unakaribiaWadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala. Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya SGR ili watumiaji wa barabara wawe na mbadala wa kutumia barabara iliyopo pembezoni ya reli. Ailiyeruhu hizi simultaneous projects - akapimwe akiri
Kwa hiki ulichoandika wa kupimwa akili ni wewe.Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi...
kwani mwendokasi ni ya nani na kwa manufaa ya nani?Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala. Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya SGR ili watumiaji wa barabara wawe na mbadala wa kutumia barabara iliyopo pembezoni ya reli. Ailiyeruhu hizi simultaneous projects - akapimwe akiri
[emoji3][emoji3][emoji3]Ila huo mkoa wanaume mnadeka sana aiseeee....[emoji23]
Karibu daa slaam[emoji1787]Ila huo mkoa wanaume mnadeka sana aiseeee....[emoji23]
Ujenzi wa mwendokasi kuelekea Mbagala ulikuwa zaidi ya hivyo na hatukusema neno.Kwa hiki ulichoandika wa kupimwa akili ni wewe.
Maendeleo huambatana na maumivu kwa baadhi ya watu.
Hujakutana naIfikie hatua, maneno kama nyerere road , mandela road , yafikie hatua yasitumike katika kadamnasi. Yanachanganya . Watu tutaje sehemu husika, mikocheni, sinza , tazara, salender bridge makutano flani na kuendelea, hayo road kuitwa jina tuwaachie wazee wa 80 kwenda nyuma.
Ila huo mkoa wanaume mnadeka sana aiseeee....😂
Mkuu si upande boda?Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala. Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya SGR ili watumiaji wa barabara wawe na mbadala wa kutumia barabara iliyopo pembezoni ya reli. Ailiyeruhu hizi simultaneous projects - akapimwe akiri
Ngoja kwanza mkuu, kuna lishangazi la daslam nalizoza kwanza hadi likubali ndio nitakuja mkuu...😊Karibu daa slaam[emoji1787]
wa daslam mwingine huyo....🤣Kwa hiyo ukiwa mwanaume usiyedeka unapita juu mawinguni? Kuwa mkakamavu sio kuwa mpumbavu.