Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Huwa tunawaambiaga watu waache fikra za kimaskini kuhusu mataifa ya magharibi ,jamaa wameshusha zigo la trillion zaid ya mia,kibongobongo tunaila miaka 3.
Huwa nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu wanawachukulia poa sana haya mataifa ya west,kiufupi hawa jamaa walishaendelea sana kimaisha.
Waliofanya kazi na hawa west hususani kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali wanautambua mziki wao.
We shindia fikra zako za kimaskini ukijua watapata shida, endelea kujitekenya.

- The German government agreed on a 65-billion-euro ($65bn) plan to ease pressure on households as Russian gas supplies dwindle and energy bills soar.
- Chancellor Olaf Scholz said Germany would have sufficient energy to see it through to next year after Russia stopped supplies of gas to Europe via the Nord Stream 1 pipeline.